Dannis
JF-Expert Member
- Jan 21, 2016
- 1,603
- 1,702
Hawa malaysia post sitaki kuwasikia mpk sasa saa yangu imekwama south Africa na muda umeishaInategemea ni free shipping ya courier gani maana zipo hadi za Singapore post ambazo ni faster than ever
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa malaysia post sitaki kuwasikia mpk sasa saa yangu imekwama south Africa na muda umeishaInategemea ni free shipping ya courier gani maana zipo hadi za Singapore post ambazo ni faster than ever
Hujaopen dispute wakurefund?Hawa malaysia post sitaki kuwasikia mpk sasa saa yangu imekwama south Africa na muda umeisha
Hawa malaysia post sitaki kuwasikia mpk sasa saa yangu imekwama south Africa na muda umeisha
Ulilipwa au alikusubirisha tena?Hata mimi items zangu zilikwama South Africa nika open dispute. Lakini baadaye nilikua kuzipokea tena baada ya siku 90
Mizigo yote yenye tracking inayoanza na "R" (registered mail) huwa haulipii ila kama tracking no. Sio "R" wanakuchaji hiyo 2350.Hapo nyuma nimeagiza mizigo mingi sana ikiwemo simu kadhaa sikuwahi kukutana na tozo pale posta.
Lakini sasa imefika mizigo mitatu kila mzigo naambiwa niulipie Tsh 2350. Na ni small packages.
Na hata shipping mzigo miwili nimelipia shipping.
Lakini risiti inaonesha ni gharama za shipping.
Umetrack kwa kutumia posta website? Kama bado fungua web yao nenda sehemu ya domestic item.Hapo dar mzigo unapofikia ni kero sana. Mzigo wangu umefika tangu tarh 5/9 mpk leo hakuna lolote
Inasema "No information available for the order"Umetrack kwa kutumia posta website? Kama bado fungua web yao nenda sehemu ya domestic item.
Mizigo yote yenye tracking inayoanza na "R" (registered mail) huwa haulipii ila kama tracking no. Sio "R" wanakuchaji hiyo 2350.
Hapo dar mzigo unapofikia ni kero sana. Mzigo wangu umefika tangu tarh 5/9 mpk leo hakuna lolote
Wale wanazingua sana..utendaji wao labda unazidiwa kiwango mana haiwezekani for 5 days mzigo umesimama tuuTufanyaje mkuu kulitatua hili. Manake pale ubabaishaji ni mkubwa sana wakati mwingine mpaka watu wanakua waoga kununua online
Hawa sijui wanachanganya nini! Mfano cheki mzigo wangu ulitakiwa uje posta ya mbagala cheki ulivyozungukaWale wanazingua sana..utendaji wao labda unazidiwa kiwango mana haiwezekani for 5 days mzigo umesimama tuu
Angalia hizo tracking no. Ukiona no. Ya tracking imeanzia na "R" hapo hawatakulipisha hiyo 2350.Tufafanulie
Ooohh..Hawa sijui wanachanganya nini! Mfano cheki mzigo wangu ulitakiwa uje posta ya mbagala cheki ulivyozungukaView attachment 1203340
Fafanua manake kuna mda nilishaweka hiyo kitu hapa jukwaani . kuna wadau walibisha sana, na kwa kua sikua na ushahid wa kutosha nami niliaminishwa tu kua ni hivyo.Angalia hizo tracking no. Ukiona no. Ya tracking imeanzia na "R" hapo hawatakulipisha hiyo 2350.
Wadau walibisha kwamba ni kodi, hiyo 2350 sio ile kodi ya TRA ni service charge ambayo posta wenyewe wanacharge. Import tax ukichajiwa huwa unalipa kama 21% ya bei ya kununulia bidhaa. Mara nyingi hawa wanaotutumia mizigo huwa kwenye package wanaandika bei ya chini ndio maana customs hawatucharge.Fafanua manake kuna mda nilishaweka hiyo kitu hapa jukwaani . kuna wadau walibisha sana, na kwa kua sikua na ushahid wa kutosha nami niliaminishwa tu kua ni hivyo.
Kama kwa namna moja au nyingine unahusika na mamlaka husika tusaidie kwa faida ya jf
Itakuwa posta bado hawajakabidhiwa package yako.Ooohh..
Sasa mkuu mbn kwangu haionyeshi kwa hiyo link uliyotoa
Kwahy ni nani mwenye nayo mana haielewekiItakuwa posta bado hawajakabidhiwa package yako.
Nilitaka kwanza kuona seller atasema nini, naona nae anasema niende Post office nikatrack mzigo wangu huko, kiufupi hayo nimefanya, leo nafungua dispute sitaki mchezoHujaopen dispute wakurefund?