Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,728
Mzigo niliupata, ila baada ya kupigwa panga la TRA.View attachment 1214975
Habari wadau! Msaada naona mzigo wangu tayari umeshaingia nchini, ila unasomeka "held by customs". Maana yake ni nini na ili nipate mzigo wangu natakiwa kufanya nini ?
Mzigo niliupata, ila baada ya kupigwa panga la TRA.
Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.Hongera mkuu
Mzigo ulikua wa bei gani na customs ulilipa Bei gani
Bahati yako mbaya mzigo ulitiliwa mashaka mkuu.Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.
Bisha tena!Haipo dispute ya siku 20 mkuu dispute ndani ya siku 3 - 4 hela inarudishwa. Japo haitokuwa sawa na pesa uliyo katwa awali.
Je umecheck statement au kuuliza Bank husika?
Hii kitu ilinikuta mwezi wa nane kulipokuwa na punguzo la bei. Nikaplace order. Siku 8 zikawa zinakaribia kuisha, seller ndio ananitafuta na kuniambia product niliyochagua iko temporarily out of stock. Nilichagua Note 7 white, akanipa options 3 kucancel order, kuextend muda ili asubiri mzigo au kubadili rangi ya simu. Ikanibidi nichague red. Yamebaki masaa kanipigia simu kabisa eti red nayo imeisha. Anauniuliza kama naweza kukubali blue nikamwambia hapana. Akaomba nimueongezee siku. Nikaongeza kama siku 10 za kuprocess. Ndani ya siku 2 akawa ameshatuma. Mzigo nshaupokea. Nasubiri anirefund baadhi ya hela baada ya kubadilisha rangi.kuhelemewa na order mkuu!!!
ukute wakati mwingine wanapokea order store ikiwa imekauka (out of stock) so watakuweka hadi wapate mzigo mwingine ndio waship
Bahati yako mbaya mzigo ulitiliwa mashaka mkuu.
Some time umwambiage seller akutumie Declaration value invoice via email.
Wewe kwakuwa hujajua taratibu za Refund, ndio unaona kama tunakubishia.
Are you serious?
Natumia m-pesa mastercard...kila dk 5 naangalia salio.Je umecheck statement au kuuliza Bank husika?
Mara nyingine huwa pesa zisharudishwa kitambo ila Bank yako ndo inazingua.
Natumia mpesa mastercard..simu iko mkononi mda wote..na nachek after 5 minsWewe kwakuwa hujajua taratibu za Refund, ndio unaona kama tunakubishia.
Wasiliana na bank husika uliyofanyia malipo waingiza hiyo pesa kwenye account. Usidhani tuna comment tusivyo vijua.
Wapigie VoDa,hiyo ela ishatumwa na AliExpress lakini bado haijaingia kwenye account yakoNatumia m-pesa mastercard...kila dk 5 naangalia salio.
Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.
Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.
Mpesa master card niliwahi kuitumia kufanya malipo, ikafika muda ika expire. Nika create master card nyingine. Nilipo dai refund pesa ili rudishwa kwakuwa namba ya master card ilisha expire pesa iliingizwa moja kwa moja kwenye mpesa account.Natumia mpesa mastercard..simu iko mkononi mda wote..na nachek after 5 mins
Sikuwa na maana kuwa nahitaji hiyo simu, bali hiyo bei na simu husika! Otherwise uwe wazi inatatizo gani?Siliaz Mkuu Nina shida
Mida ya saa 10 hiv nilichek tena salio kweny mastercard ndy ikasoma yan ile hela ya bidhaa imekua refunded.Mpesa master card niliwahi kuitumia kufanya malipo, ikafika muda ika expire. Nika create master card nyingine. Nilipo dai refund pesa ili rudishwa kwakuwa namba ya master card ilisha expire pesa iliingizwa moja kwa moja kwenye mpesa account.
Je unaangalia salio la M-pesa au la MasterCard?
Okay...kwa feedback.Mida ya saa 10 hiv nilichek tena salio kweny mastercard ndy ikasoma yan ile hela ya bidhaa imekua refunded.
Shukhrani Bro!
Mpesa master card niliwahi kuitumia kufanya malipo, ikafika muda ika expire. Nika create master card nyingine. Nilipo dai refund pesa ili rudishwa kwakuwa namba ya master card ilisha expire pesa iliingizwa moja kwa moja kwenye mpesa account.
Je unaangalia salio la M-pesa au la MasterCard?