Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Hongera mkuu
Mzigo ulikua wa bei gani na customs ulilipa Bei gani
Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.
 
Bahati yako mbaya mzigo ulitiliwa mashaka mkuu.
Some time umwambiage seller akutumie Declaration value invoice via email.
 
Haipo dispute ya siku 20 mkuu dispute ndani ya siku 3 - 4 hela inarudishwa. Japo haitokuwa sawa na pesa uliyo katwa awali.
Bisha tena!
Mpk saiv haijarudi!
20191002_092331_rmscr-1.jpg
20191002_092220_rmscr-1.jpg
 
kuhelemewa na order mkuu!!!
ukute wakati mwingine wanapokea order store ikiwa imekauka (out of stock) so watakuweka hadi wapate mzigo mwingine ndio waship
Hii kitu ilinikuta mwezi wa nane kulipokuwa na punguzo la bei. Nikaplace order. Siku 8 zikawa zinakaribia kuisha, seller ndio ananitafuta na kuniambia product niliyochagua iko temporarily out of stock. Nilichagua Note 7 white, akanipa options 3 kucancel order, kuextend muda ili asubiri mzigo au kubadili rangi ya simu. Ikanibidi nichague red. Yamebaki masaa kanipigia simu kabisa eti red nayo imeisha. Anauniuliza kama naweza kukubali blue nikamwambia hapana. Akaomba nimueongezee siku. Nikaongeza kama siku 10 za kuprocess. Ndani ya siku 2 akawa ameshatuma. Mzigo nshaupokea. Nasubiri anirefund baadhi ya hela baada ya kubadilisha rangi.
 
Wewe kwakuwa hujajua taratibu za Refund, ndio unaona kama tunakubishia.

Wasiliana na bank husika uliyofanyia malipo waingiza hiyo pesa kwenye account. Usidhani tuna comment tusivyo vijua.
Natumia mpesa mastercard..simu iko mkononi mda wote..na nachek after 5 mins
 
Nimejifunza nikigundua mzigo upo customs nahakiksha napata kwanza mawasiliano na seller Bei iliyoandikwa
Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.
 
Pole sana ndo mwanzo huo kikubwa mzigo umefika salama
Hii ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuagiza mzigo online so sikuwa na experience ya kutosha. Mzigo nimeununua kama 450K. Sikuwa najua seller kaandika sh ngapi kwenye mzigo wangu. Customs nikaulizwa umenunua sh ngapi nikasema laki mbili na nusu hapo nikawa nahofia pengine seller kaandika actual price nikaonekana muongo. Basi nikapigiwa mahesabu based on hiyo 250K, ambayo nikalipia 52K. Ile nimekuja pewa mzigo wangu nilijiona mjinga sana aisee. Kumbe seller kaandika thamani ya mzigo ni USD 40.
 
Natumia mpesa mastercard..simu iko mkononi mda wote..na nachek after 5 mins
Mpesa master card niliwahi kuitumia kufanya malipo, ikafika muda ika expire. Nika create master card nyingine. Nilipo dai refund pesa ili rudishwa kwakuwa namba ya master card ilisha expire pesa iliingizwa moja kwa moja kwenye mpesa account.

Je unaangalia salio la M-pesa au la MasterCard?
 
Mida ya saa 10 hiv nilichek tena salio kweny mastercard ndy ikasoma yan ile hela ya bidhaa imekua refunded.

Shukhrani Bro!
 
mimi kuna kitu nilinunua hakikufika nikaopen dispute wakasema watarefund within 3-20 days ila mbaka sasa ni almost 2 month sion pesa kwenye master card nikiwachek wanasema washarudisha niwasiliane na aliexpress

nawasiliana nao vp kwenye email au kwenye app? maana hata sion sehem ya kuwasiliana nao

Back
Top Bottom