Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Nimeingia aliexpress nimekuta kila empty
My order empty
Messeges empty
Cart
Shipped
Wish list
In dispute
Address
Zote hizo empty wakati niliagiza bidhaa ilikuwa ifike 25 - 30 october
Na kulikuwa na dispute seller mmoja hakunitumia mzigo
Naanza kukosa imani na hii mitandao
Nimetuma web nako yaleyaleKama unatumia App itakuwa ni bugs tu, jaribu kusngalia kwa kutumia Web
Kumbuka voda wanakata 4% hivyo weka hela ya kutosha kwenye Mastercard yako ya MPESA
Nimeingia aliexpress nimekuta kila empty
My order empty
Messeges empty
Cart
Shipped
Wish list
In dispute
Address
Zote hizo empty wakati niliagiza bidhaa ilikuwa ifike 25 - 30 october
Na kulikuwa na dispute seller mmoja hakunitumia mzigo
Naanza kukosa imani na hii mitandao
Mkuu hilo hutokea sometimes lakini itakaa sawa angalia kama hiyo App ina update.Nimeingia aliexpress nimekuta kila empty
My order empty
Messeges empty
Cart
Shipped
Wish list
In dispute
Address
Zote hizo empty wakati niliagiza bidhaa ilikuwa ifike 25 - 30 october
Na kulikuwa na dispute seller mmoja hakunitumia mzigo
Naanza kukosa imani na hii mitandao
NimejaribuMkuu hilo hutokea sometimes lakini itakaa sawa angalia kama hiyo App ina update.
Uwe tayari kusubiri hadi siku 30 ndio mzigo utatumwa. Ila inaweza kutumwa siku pungufu ya hizo.Wakuu habari huyu #fantacy huyu nahitaji ushauri mzuri wa mwisho kabla sijamuwekea pesa yangu hapo kesho Online Shop In stock Global ROM Xiaomi Redmi Note 8 4GB 64G 48MP Quad Camera Smartphone Snapdragon 665 Octa Core 6.3" FHD Screen 4000mAh | Aliexpress Mobile - 11.11_Double 11_Singles' Day
Pia naomba link ya seller mwingine mwenye uwepesi wa kutuma bidhaa.
Mr. Mobile
Sangawe Jr
Na wa dau wote wa Xiaomi
Wakuu habari huyu #fantacy huyu nahitaji ushauri mzuri wa mwisho kabla sijamuwekea pesa yangu hapo kesho Online Shop In stock Global ROM Xiaomi Redmi Note 8 4GB 64G 48MP Quad Camera Smartphone Snapdragon 665 Octa Core 6.3" FHD Screen 4000mAh | Aliexpress Mobile - 11.11_Double 11_Singles' Day
Pia naomba link ya seller mwingine mwenye uwepesi wa kutuma bidhaa.
Mr. Mobile
Sangawe Jr
Na wa dau wote wa Xiaomi
Ni seller yupi mzigo utafika ndani ya wiki 3?Uwe tayari kusubiri hadi siku 30 ndio mzigo utatumwa. Ila inaweza kutumwa siku pungufu ya hizo.
Ni seller yupi mzigo utafika ndani ya wiki 3?
Mkuu aisee Fantacy ni wa kumuotea, lkn mm sina bahati na huyu seller nilisha cancel order mara mbiliWakuu habari huyu #fantacy huyu nahitaji ushauri mzuri wa mwisho kabla sijamuwekea pesa yangu hapo kesho Online Shop In stock Global ROM Xiaomi Redmi Note 8 4GB 64G 48MP Quad Camera Smartphone Snapdragon 665 Octa Core 6.3" FHD Screen 4000mAh | Aliexpress Mobile - 11.11_Double 11_Singles' Day
Pia naomba link ya seller mwingine mwenye uwepesi wa kutuma bidhaa.
Mr. Mobile
Sangawe Jr
Na wa dau wote wa Xiaomi
Naenda kupatupia macho pia.Mimi naagiza kule Alibaba
Mkuu nitazamie tena hii bei kama hakuna mabadiliko tufanye biashara mchana huu.Leta tzs 387, 500 ni black color, Ila kufika ni ndani ya wiki tatu, ahsante.
Ila ni 3GB+32GB Global versionMkuu nitazamie tena hii bei kama hakuna mabadiliko tufanye biashara mchana huu.
Ok.Ila ni 3GB+32GB Global version
Hivi mkuu na transportation cost unatuma kwa agent au kampuni km dhl au inakuaje?Ila ni 3GB+32GB Global version
Hivi mkuu na transportation cost unatuma kwa agent au kampuni km dhl au inakuaje?