Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Kama unatumia App itakuwa ni bugs tu, jaribu kuangalia kwa kutumia Web
Nimeingia aliexpress nimekuta kila empty
My order empty
Messeges empty
Cart
Shipped
Wish list
In dispute
Address
Zote hizo empty wakati niliagiza bidhaa ilikuwa ifike 25 - 30 october
Na kulikuwa na dispute seller mmoja hakunitumia mzigo
Naanza kukosa imani na hii mitandao