Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wadau niliagiza simu umidigi a5 pro Kwa kufata maelekezo ya wadau hapa. Nashukuru leo nimepokea mzigo wangu Mwanza. Sijatozwa hata buku yani

Nawashukuru sana na mbarikiwe. Mmenisaidia sana na nimejifunza mengi na nitaendelea kujifunza.
Mkuu nipe mrejesho wa utendaji kazi wa hiyo simu, uwezo wa kamera na je inapokea updates za android
 
Mnanitamanisha sana na kitu cha miui ila mawazo yangu yapo kwa mi a3
Hivi mi A3 so huwa inapokea updates za adroid yake kwa wakati??
 
Wadau naomba msaada kidogo
,mwezi wa 7 mwishoni kuna headphone niliagiza kupitia aliexpress so muda ukawa umepita sana Ile juzi nikachat na muuzaji yeye akaaniambia niopen dispute Sasa Jana nikaopen na Leo hii asubuhi nimepgiwa simu na mtu wa posta kuwa kipaseli kimefika so naomba namna jinsi ya kucancel hyo dispute ili mradi nisirudishiwe hyo pesa maan syo poa
 
Wasiliana na seller
 
Uvumilivu kweli kweli maana mwezi ushapita hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…