Mimi nimeikubali hiyo ya betri sever tu.Features za MIUI 11
Ni feature ambayo endapo betri ya simu imebaki asilimia chache na huna namna ya kuchaj kwa muda huo basi inaweka in hiyo feature hapo ina funga app zote kwenye screen na kubakiza app zile za muhimu tu kama vile app ya sms, dialer, na app nyingine utakayo chagua uitumie kwa muda huo kwa kufanya hivyo itaongeza muda wa simu yako kukaa na chaji.Inafanyaje?
Hii labda wenye experience watakujibu mkuu...Hivi wakuu nipeni ushauri hapa:
hivi nikiagiza mzigo nikiwa mkoa mara halafu kabla mzigo haujafika nikawa nimeenda mkoa mwingine,je hapo mzigo ukifika posta kunakua na faini ya kuchelewa kuuchukua na je mzigo utakua na Usalama?
M nliagiza wireless hear phone kwanza ili nione kama wataweza leta kwa anuani yang,Nshapokea na sasa nataka niagize simu.View attachment 1265148View attachment 1265149
Mimi nimeikubali hiyo ya betri sever tu.
Ni feature ambayo endapo betri ya simu imebaki asilimia chache na huna namna ya kuchaj kwa muda huo basi inaweka in hiyo feature hapo ina funga app zote kwenye screen na kubakiza app zile za muhimu tu kama vile app ya sms, dialer, na app nyingine utakayo chagua uitumie kwa muda huo kwa kufanya hivyo itaongeza muda wa simu yako kukaa na chaji.
Sijui kama kwa maelezo haya umenielewa mkuu. Hii ni tofauti na power saving mode.
Mkuu kama una MIUI 11 kuna link ya video niliweka comments za nyuma.Naiseti vipi nielekeze
Mzigo ukikaa zaidi ya mwezi bila ya kuchukuliwa Unarudishwa ulipotoka.Hivi wakuu nipeni ushauri hapa:
hivi nikiagiza mzigo nikiwa mkoa mara halafu kabla mzigo haujafika nikawa nimeenda mkoa mwingine,je hapo mzigo ukifika posta kunakua na faini ya kuchelewa kuuchukua na je mzigo utakua na Usalama?
Hivi wakuu nipeni ushauri hapa:
hivi nikiagiza mzigo nikiwa mkoa mara halafu kabla mzigo haujafika nikawa nimeenda mkoa mwingine,je hapo mzigo ukifika posta kunakua na faini ya kuchelewa kuuchukua na je mzigo utakua na Usalama?
Duh MIUI hakuwa na hii feature?, alizidiwa na tecno, wanayo hii feature kitambo sana. Niliiona huko kwenye dabliyu fooo[emoji3] hapa Mi alichelewa sana. Samsung anayo pia, "Power mode"Mimi nimeikubali hiyo ya betri sever tu.
Ni feature ambayo endapo betri ya simu imebaki asilimia chache na huna namna ya kuchaj kwa muda huo basi inaweka in hiyo feature hapo ina funga app zote kwenye screen na kubakiza app zile za muhimu tu kama vile app ya sms, dialer, na app nyingine utakayo chagua uitumie kwa muda huo kwa kufanya hivyo itaongeza muda wa simu yako kukaa na chaji.
Sijui kama kwa maelezo haya umenielewa mkuu. Hii ni tofauti na power saving mode.
Jamaa hii feature hakuwa nayo aisee...Duh MIUI hakuwa na hii feature?, alizidiwa na tecno, wanayo hii feature kitambo sana. Niliiona huko kwenye dabliyu fooo[emoji3] hapa Mi alichelewa sana. Samsung anayo pia, "Power mode"
Hiyo labda Kwa items ndogo ndogo!!Nenda posta. Chukua namba ya simu ya anaehudumia mwambia nna mzigo upo njiani lakini nasafiri. Naomba ukifika akugowadie unakoenda. Ukifika wana repark unatumwa uliko. Nimewaifanya hivo. Mzigo ulipofika nikatumiwa tena na posta kule nilipo
Hahahaaaa unataka kutuamisha Posta sikuhizi uaminifu zero.!!!Hiyo labda Kwa items ndogo ndogo!!
Kwa simu utaambulia box,Charger na manual book's
Huo mzunguko umekaa tege!!!Hahahaaaa unataka kutuamisha Posta sikuhizi uaminifu zero.!!!
Poa mkuuMzigo ukikaa zaidi ya mwezi bila ya kuchukuliwa Unarudishwa ulipotoka.
Shida natumia sanduku la kibaruaniHuo mzunguko umekaa tege!!!
Mimi nikiwa sipo au nikibanwa wife anaenda kuchukua sababu ni mmiliki mwenza wa sanduku
Nitaenda wanipe ABCNenda posta. Chukua namba ya simu ya anaehudumia mwambia nna mzigo upo njiani lakini nasafiri. Naomba ukifika akugowadie unakoenda. Ukifika wana repark unatumwa uliko. Nimewaifanya hivo. Mzigo ulipofika nikatumiwa tena na posta kule nilipo
Hii feature mbona ipo kitambo tu.. Mi natumia daily na Sina hata hiyo miui 11 bado.Duh MIUI hakuwa na hii feature?, alizidiwa na tecno, wanayo hii feature kitambo sana. Niliiona huko kwenye dabliyu fooo[emoji3] hapa Mi alichelewa sana. Samsung anayo pia, "Power mode"
Hii feature mbona ipo kitambo tu.. Mi natumia daily na Sina hata hiyo miui 11 bado.
Ebu tuwekee mkuu labda wengine hatuioniNimeikuta pia kwenye MIUI 10.