So hakuna pa kukimbilia?Huko pagumu sana kipindi hiki, mizigo inachukua mda mrefu sana kufika wakati huu wa covid-19
Sent using Jamii Forums mobile app
Inayo ya kwake una pakua unachokitaka kama kawa vidudu hivi viko poa hatari hutorudi kwa akina samsunghaina ndilo moja wapo ya matatizo yake
Nikweli hata mm kakwangu sitamani kina blackbery,samsung wala nnNimetumia aina zote za simu ila believe me iphone na xiaomi ni gumzo!!! Sema iphone haina uhuru wa kufanya mambo mengi kama android ila xiaomi ni best kwangu mimi we endelea tu na tu na unachokiamini ni bora au na wewe ni chizi mabrandy kwamba ukisikia tu sony sijui lg sijui nn unaamini ndio basi
Kama unataka mzigo wa chap chap hakuna pa kukimbilia.So hakuna pa kukimbilia?
Niliagiza ebay nikaishia kudai refund maana mambo yalikuwa hayaendi
Uko wapi?Bei naiweka hapo inajumuisha kila kitu chief... View attachment 1439081
Sent using Jamii Forums mobile app
Kikuu sio kama ali express.... Kikuu delivery ya kikuu wanafanya wenyewe lazima uende ofisin kwao au watakuletee ulipo.. Nakikuu ina operate kwenye inch zenye ofis zao tu... Wakat ali ni worldwide shipping utapanga wewe na seller utachagua either kwa posta au express mail kama ups, dhl kwa seller wanaotumia izo njia... Ukitumia aliexpress standard shiping ambayo kwa namna nyingine ni sawa na fulfilled by amazon wao watawatumia singpost kama agent wao... So mzigo wako utaupokea posta kwakutumia postal address au express shiping kwakutumia physical address
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitakitafuta pmKwa wale wanaotaka kuagiza mizigo labda mtumie express shipping wenye ndege zao mfano DHL UPS ila mkitumia posta naona kama kunashida katika kupata mizigo... Nina mizigo Mitano miwil nmenunua ali express toka tarehe 13 march update ya mwisho ni tareh 20 mwezi wa 3....na mzigo miwil nlinunua ebay lakin seller yupo Estonia nilinunua tarehe 3 mwez wa 3 na update ya mwisho ni tarehe 23 mwezi wa 3 hadi leo hakuna pia kuna mzigo mwingine nnunua ebay seller yupo US na aliship na USPS priority mail update ya mwisho ni tarehe 18 mwezi wa 3.....yaaan nawashaur msiagize mizigo sabab post zinatumia fright za abilia ambazo kwa sasa ndege nying zimesitisha huduma.
...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza kuweka na range ya bei zake kwa size na specifications!Kwa yeyote mwenye uhitaji wa MI TV na haujui wapi utaipata, tuwasiliane PM.
View attachment 1437517
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli mi nataka inch 32Mkuu unaweza kuweka na range ya bei zake kwa size na specifications!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu,,, ata note 7 mpya ni ngumu... kwa note 8 mpya anzakuwa na 380k+ (Hii kama kuna promotion unaweza pata) Ila kikawaida sana sana uwe na 400k+ ndo uhakika zaidi.Budget ya 300k napata xiaom redmi note 8 mpya wakuu?
Duuuh hakuna aneuza aniuzie tu hata kama imetumika nina shida mkuuHapana mkuu,,, ata note 7 mpya ni ngumu... kwa note 8 mpya anzakuwa na 380k+ (Hii kama kuna promotion unaweza pata) Ila kikawaida sana sana uwe na 400k+ ndo uhakika zaidi.
Google realme x, ukiipenda nnayo nimetumia wiki tu, niliagiza mwezi wa pili ikachelewa sana, nikakata tamaa nikanunua simu nyingine mjini , wiki iliyopita nikaitwa posta nikaichukue , ss sina ishu nayo kivileDuuuh hakuna aneuza aniuzie tu hata kama imetumika nina shida mkuu
Spea agiza Ila unapoagiza kuwa makini , agiza kifuniko na kioo chenyewe usiagize kiioo tupu.Hivi spear zimeshaanza kupatikana hapa bongo,mie Yangu ishapasuka screen.