Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Welcome to Xiaomi Fans & Users TZ Group! [emoji4] Feel free to share your experiences with others, Your New Xiaomi brands, MIUI New features & Online Shopping and purchases experiences from Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba e.t.c...


[emoji1484]
Xiaomi Users TZ
 
Wakuu

Nimefwatilia sana huu uzi kuhusu simu hizi.

Sina utundu nazo sanaa

Naomba nifahamishwee kidogo utofauti na hizi nlizo tumia Sumsung na Apple.

Pia hizi Gharama zake zime simama je...?
Pia OS yake haina usumbufu kama zilivyo Apple.

Na zinaanzia bei zipi..?

Pia sifa kuu ilizo nazo hizi simu ni ipi..?
 
IN SHORT NI KWAMBA PERFOMANCE YAKE NA SPECS HAIENDANI NA BEI YAKE UNLIKE OTHER PHONE SPECS NA PERFOMANCE IPO JUU WAKATI BEI IPO CHINI ,OS INA UTOFAUTI KIDOGO NA MATECNO YETU TULIYOYAZOEA ILA NI NZURI SANA
 
Mfano mi natumia
IN SHORT NI KWAMBA PERFOMANCE YAKE NA SPECS HAIENDANI NA BEI YAKE UNLIKE OTHER PHONE SPECS NA PERFOMANCE IPO JUU WAKATI BEI IPO CHINI ,OS INA UTOFAUTI KIDOGO NA MATECNO YETU TULIYOYAZOEA ILA NI NZURI SANA
Oooh safii kaka

Je..? Inatumia Playstore kama hizi zingine...?

Pia bei ya chini shingp maana nimezielewa.
 
Wadau mizigo imeanza kuja? Kuna parcel zangu 3 toka mwezi wa tatu hazijafika. Nataka kuoda vitu vingine ila naogopa
 
Wadau mizigo imeanza kuja? Kuna parcel zangu 3 toka mwezi wa tatu hazijafika. Nataka kuoda vitu vingine ila naogopa
Mizigo ya mwezi wa tatu naona tatizo. Mingine ilishakuja naona watu wa posta wameshafanya yao. Niliagiza kipindi hicho parcel zangu sijapata na zinaonesha zilishaletwa hapa Tz nwezi wa nne. Parcel za mwezi wa tano au sita zote nimepata kasoro moja au mbili hivi. Siku hizi nafuu tunapata vifurushi vyetu mkuu,usiogope pambana tu.
 
Wadau mizigo imeanza kuja? Kuna parcel zangu 3 toka mwezi wa tatu hazijafika. Nataka kuoda vitu vingine ila naogopa
Mwezi wa tatu hadi sasa hujapata parcel? Niliwahi kuagiza saa na niliagiza kwa kupishanisha siku. Saa moja shipping fee ilikua free ingine nililipa.

Hii ya free shipping ilikaa almost miezi miwili haijafika japo ndo ilikua order ya kwanza. Ile niliyolipia ilifika ndani ya wiki tatu, hapa ule msemo wa bure gharama una-apply.

Sasa mkuu unasema toka mwezi wa tatu hadi leo hii September bado hujapata na still unataka kuagiza item ingine!! Mi nadhani wasaliana na seller ujue hatma ya hizo parcel za March
 
Hivi hao watu wa posta sijui wana nini, huko nyuma status yangu ilikua inaonyesha mzigo uko posta. Nikiwasiliana na seller anasema anaona nishachukua mzigo wakati bado.

Nilichofanya nilimuandikia sms kali yule seller nikitishia ku-open dispute na kuweka negative feedback, wale jamaa somehow waungwana walinipa saa 48 ya kutatua huo mkwamo hatimae baada ya saa 72 nikapata mzigo wangu.

Shida ingine inaweza kua kwa logistic company unayotumia, mfano kuna hawa wanaitwa Singapore post, Kama sijakosea aisee kwa uzoefu mdogo nilionao ukiagiza item afu ukaona msafirishaji ni hao niliowataja jiandae kwa lolote.
 
REDME NOTE 3 AU NOTE 4 Kwa Dar naipata wap na bei gan wakuu
Nadhani kwenye huu uzi page za juu kuna mdau alisema zinauzwa hapo dar sasa sijui duka liko maeneo gani. Lakini kwa nini usiagize online?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…