Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
- Thread starter
- #5,861
Siiwez bei yake ngoja nipoze machungu kwa k30 ultraBalaa sana hiyo simu mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siiwez bei yake ngoja nipoze machungu kwa k30 ultraBalaa sana hiyo simu mkuu.
Itakuwa na RAM & ROM ngapi?
IN SHORT NI KWAMBA PERFOMANCE YAKE NA SPECS HAIENDANI NA BEI YAKE UNLIKE OTHER PHONE SPECS NA PERFOMANCE IPO JUU WAKATI BEI IPO CHINI ,OS INA UTOFAUTI KIDOGO NA MATECNO YETU TULIYOYAZOEA ILA NI NZURI SANAWakuu
Nimefwatilia sana huu uzi kuhusu simu hizi.
Sina utundu nazo sanaa
Naomba nifahamishwee kidogo utofauti na hizi nlizo tumia Sumsung na Apple.
Pia hizi Gharama zake zime simama je...?
Pia OS yake haina usumbufu kama zilivyo Apple.
Na zinaanzia bei zipi..?
Pia sifa kuu ilizo nazo hizi simu ni ipi..?
Oooh safii kakaIN SHORT NI KWAMBA PERFOMANCE YAKE NA SPECS HAIENDANI NA BEI YAKE UNLIKE OTHER PHONE SPECS NA PERFOMANCE IPO JUU WAKATI BEI IPO CHINI ,OS INA UTOFAUTI KIDOGO NA MATECNO YETU TULIYOYAZOEA ILA NI NZURI SANA
4+64gbMkuu
Itakuwa na RAM & ROM ngapi?
Hii Tecno inabei gani dukani? Na je mfuniko wa betri haufunguki?Tecno p701 hatari sanaaa
Redmi note 9S 6GBRAM+128GB ROM, snapdragon 720G, 5020 mah, 48MP rear camera. Mkuu ushawahi muagizia mtu?4+64gb
Sasahivi mambo safii mkuuWadau mizigo imeanza kuja? Kuna parcel zangu 3 toka mwezi wa tatu hazijafika. Nataka kuoda vitu vingine ila naogopa
Sio kiivo Kuna items bado zinachelewa sana Ila Kuna baadhi zinakuja fastaSasahivi mambo safii mkuu
Mizigo ya mwezi wa tatu naona tatizo. Mingine ilishakuja naona watu wa posta wameshafanya yao. Niliagiza kipindi hicho parcel zangu sijapata na zinaonesha zilishaletwa hapa Tz nwezi wa nne. Parcel za mwezi wa tano au sita zote nimepata kasoro moja au mbili hivi. Siku hizi nafuu tunapata vifurushi vyetu mkuu,usiogope pambana tu.Wadau mizigo imeanza kuja? Kuna parcel zangu 3 toka mwezi wa tatu hazijafika. Nataka kuoda vitu vingine ila naogopa
Mwezi wa tatu hadi sasa hujapata parcel? Niliwahi kuagiza saa na niliagiza kwa kupishanisha siku. Saa moja shipping fee ilikua free ingine nililipa.Wadau mizigo imeanza kuja? Kuna parcel zangu 3 toka mwezi wa tatu hazijafika. Nataka kuoda vitu vingine ila naogopa
Hivi hao watu wa posta sijui wana nini, huko nyuma status yangu ilikua inaonyesha mzigo uko posta. Nikiwasiliana na seller anasema anaona nishachukua mzigo wakati bado.Mizigo ya mwezi wa tatu naona tatizo. Mingine ilishakuja naona watu wa posta wameshafanya yao. Niliagiza kipindi hicho parcel zangu sijapata na zinaonesha zilishaletwa hapa Tz nwezi wa nne. Parcel za mwezi wa tano au sita zote nimepata kasoro moja au mbili hivi. Siku hizi nafuu tunapata vifurushi vyetu mkuu,usiogope pambana tu.
Nadhani kwenye huu uzi page za juu kuna mdau alisema zinauzwa hapo dar sasa sijui duka liko maeneo gani. Lakini kwa nini usiagize online?REDME NOTE 3 AU NOTE 4 Kwa Dar naipata wap na bei gan wakuu