Hii note 8A ulichukua ile yenye 3GB RAM na 32 GB ROM au ile 4GB+64GB ROM? Nimeona proccesor yake iko poa tu kwa matumizi ya kawaida.Simu za xiaomi ni bora sana..natumia redmi 8a iko poa sana..
Kwa uzoefu nlionao singpost ndio njia reliable....na wanakuhakikishia kuupata mzigo wako......ukitukia AliExpress standard shipping ujue mzigo wako utatumwa na singpost......na wenye uzoefu wetu tunashauri watu watumie AliExpress standard shipping sabab AliExpress ndio wata take carr mzigo wako na kuwatukia 4px kuupeleka singpore then singpost watautuma dar es salam...Hivi hao watu wa posta sijui wana nini, huko nyuma status yangu ilikua inaonyesha mzigo uko posta. Nikiwasiliana na seller anasema anaona nishachukua mzigo wakati bado.
Nilichofanya nilimuandikia sms kali yule seller nikitishia ku-open dispute na kuweka negative feedback, wale jamaa somehow waungwana walinipa saa 48 ya kutatua huo mkwamo hatimae baada ya saa 72 nikapata mzigo wangu.
Shida ingine inaweza kua kwa logistic company unayotumia, mfano kuna hawa wanaitwa Singapore post, Kama sijakosea aisee kwa uzoefu mdogo nilionao ukiagiza item afu ukaona msafirishaji ni hao niliowataja jiandae kwa lolote.
Upo sahihi kabisa , items za free shipping nyingi majanga , Kuna charger niliagiza mwezi January , ilikuja kuingia miezi Saba baadaye , yaani Hadi nilisha assume imepoteaMwezi wa tatu hadi sasa hujapata parcel? Niliwahi kuagiza saa na niliagiza kwa kupishanisha siku. Saa moja shipping fee ilikua free ingine nililipa.
Hii ya free shipping ilikaa almost miezi miwili haijafika japo ndo ilikua order ya kwanza. Ile niliyolipia ilifika ndani ya wiki tatu, hapa ule msemo wa bure gharama una-apply.
Sasa mkuu unasema toka mwezi wa tatu hadi leo hii September bado hujapata na still unataka kuagiza item ingine!! Mi nadhani wasaliana na seller ujue hatma ya hizo parcel za March
Asante kwa kushare! Kuna item nimeagiza ila logistic ni hawa AliExpress standard shipping. Kumbe hawa singpost wanashirikiana na AliExpress standard shipping!! I thought ni two separate entity.Kwa uzoefu nlionao singpost ndio njia reliable....na wanakuhakikishia kuupata mzigo wako......ukitukia AliExpress standard shipping ujue mzigo wako utatumwa na singpost......na wenye uzoefu wetu tunashauri watu watumie AliExpress standard shipping sabab AliExpress ndio wata take carr mzigo wako na kuwatukia 4px kuupeleka singpore then singpost watautuma dar es salam...
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Ukiachana na expedited shipping, kwangu mie Singapore ndio the best normal shipper , Nimepoteza mzigo mmoja nadhan toka Nianze kuship na Singapore post back then mizigo yaon likuwa inashuka Nairobi kwanza kabla ya kuja Dar , nilipigwa simu hapoHivi hao watu wa posta sijui wana nini, huko nyuma status yangu ilikua inaonyesha mzigo uko posta. Nikiwasiliana na seller anasema anaona nishachukua mzigo wakati bado.
Nilichofanya nilimuandikia sms kali yule seller nikitishia ku-open dispute na kuweka negative feedback, wale jamaa somehow waungwana walinipa saa 48 ya kutatua huo mkwamo hatimae baada ya saa 72 nikapata mzigo wangu.
Shida ingine inaweza kua kwa logistic company unayotumia, mfano kuna hawa wanaitwa Singapore post, Kama sijakosea aisee kwa uzoefu mdogo nilionao ukiagiza item afu ukaona msafirishaji ni hao niliowataja jiandae kwa lolote.
Sawa kabisa tena hawa Chinapost ndo hovyo kabisa. Item ikilipiwa shipping fee Kuna namna wanaipa uzito mkuuUpo sahihi kabisa , items za free shipping nyingi majanga , Kuna charger niliagiza mwezi January , ilikuja kuingia miezi Saba baadaye , yaani Hadi nilisha assume imepotea
Kwa ajili ya better shipping nadhan ni bora kuachana na free shipping items. Item nyingine zinazochelewa ni za china post .
Mi sijajua kama hawa Singapore Wana collabo na AliExpress standard shipping! Anyway Kuna parcel yangu nimeagiza tar25/8/2020. Nikicheki status inaonyesha mzigo ushatoka China ngoja niendelee ku-buy time nioneUkiachana na expedited shipping, kwangu mie Singapore ndio the best normal shipper , Nimepoteza mzigo mmoja nadhan toka Nianze kuship na Singapore post back then mizigo yaon likuwa inashuka Nairobi kwanza kabla ya kuja Dar , nilipigwa simu hapo
Mkuu mimi online sio mzoefu sana zaid ya KIKUU, tatzo KIKUU wana sim chache za xiaomNadhani kwenye huu uzi page za juu kuna mdau alisema zinauzwa hapo dar sasa sijui duka liko maeneo gani. Lakini kwa nini usiagize online?
Hao kikuu niliwahi kuwasoma humu humu JF, sasa kwa uzoefu huo huo wa kikuu download app ya AliExpress huko Xiaomi ndo nyumbani kwao. Ukishadownload unaweza agiza chief, mi pia sio mzoefu kiivo ila angalau nishaagiza item ndogo ndogo kama mara tatu nakomaa tu hakuna namna.Mkuu mimi online sio mzoefu sana zaid ya KIKUU, tatzo KIKUU wana sim chache za xiaom
Njia rahis ya kujua post gan inakutumia mzigo n kuangalia country code amazo ni herufi mbili zamwisho....bila shaka umewah kuona SG kwenye tracking number yako...mfano RB.........SG iyo sg ni country code ya singpore pia unaweza kwenda kwenye website ya singpost uka utrack mzgo wako......vile vile kama ilivyo kwa china post country code yao ni CN.....msitumie free shipping wala china post mizigo ya china post inakawaida ya kuzunguka tu china wiki 3 mara imerudishwa mara imetumwaMi sijajua kama hawa Singapore Wana collabo na AliExpress standard shipping! Anyway Kuna parcel yangu nimeagiza tar25/8/2020. Nikicheki status inaonyesha mzigo ushatoka China ngoja niendelee ku-buy time nione
Elimu nzuri hii, ukweli hiyo SG kule mwisho wa tracking number sikua nafahamu ni country code. Imebidi niangalie upya ndo nikaikuta. Kwa maana hii unataka kusema hawa jamaa wa SG wako vizuri kwenye usafirishaji wa parcel sio.Njia rahis ya kujua post gan inakutumia mzigo n kuangalia country code amazo ni herufi mbili zamwisho....bila shaka umewah kuona SG kwenye tracking number yako...mfano RB.........SG iyo sg ni country code ya singpore pia unaweza kwenda kwenye website ya singpost uka utrack mzgo wako......vile vile kama ilivyo kwa china post country code yao ni CN.....msitumie free shipping wala china post mizigo ya china post inakawaida ya kuzunguka tu china wiki 3 mara imerudishwa mara imetumwa
Sent from my Redmi Note 7 using JamiiForums mobile app
Wapo vizuri mno mimi nikiona mzigo unasafirishwa na SG. Ninakuwa na amani ya kutosha.Elimu nzuri hii, ukweli hiyo SG kule mwisho wa tracking number sikua nafahamu ni country code. Imebidi niangalie upya ndo nikaikuta. Kwa maana hii unataka kusema hawa jamaa wa SG wako vizuri kwenye usafirishaji wa parcel sio.
Wapo vizuri mno mimi nikiona mzigo unasafirishwa na SG. Ninakuwa na amani ya kutosha.
Pooolee ndo changamoto vumiliakweli kabisa mkuu Singapore wapo vizuri ukijutana na kina cainao na malaysia post Utaftrai mimi kuna parcel mwezi wa tatu sasa sijapokea kwenye mizigo 4 nimepata mmoja juzi
Parcel zangu mbili zimepishana wiki moja zinasafirishwa na SG, estimation delivery date inaonyesha moja itafika mid September na ingine end September. Hope these dudes are smart.Wapo vizuri mno mimi nikiona mzigo unasafirishwa na SG. Ninakuwa na amani ya kutosha.
Dirham Ni pesa ya nchi gani? Redmi note 9S 6GB RAM + 128 GB ROM (global version) nimeona umeandika 765! Ni pesa kiasi gani in Tsh?Bei ya Xiaomi zipo kwenye Dirham
Ukiwa upo interested nitafute WhatsApp
0692119300
Jumatatu Asubuhi nitakua Zanzibar Jion nitakua darView attachment 1558977
Laki nne themanini na tatuDirham Ni pesa ya nchi gani? Redmi note 9S 6GB RAM + 128 GB ROM (global version) nimeona umeandika 765! Ni pesa kiasi gani in Tsh?