Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Tuwe na ubinadamu siyo kila anaekaa kimya kanyea kambi mimi jamaa ameniletea redmi note 5 nayotumia sasa bila tatizo lolote,binadamu matatizo tumeumbiwa sisi sometimes mwamba kwenye mishe mishe hizi hizi za kuagiza vitu mitandaoni kuna step alikosea mamlaka za nchi zimempunguza kasi kwa kumuhifadhi mahala salama who knows!!!

Mpeni muda atarudi though kila binadamu anabadilika ila apewe muda kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhan yupo online lakini pia kuna sababu mbali mbali mda mwengine watu wanasikiliza upande mmoja Tu hawaupi nafasi mwingine
 
Wazee nimenunua saa ya Amazfit. Mwaka huu January.. ila kama wiki mbili zilizopita.. touch screen yake ilianza kutorespond... baada ya hapo nikaifanyia upgrade . Baada ya ile upgrade saa ikawa ina jirestart yenyewe.. inawaka baada ya dakika moja inajirestart tena.. nimejaribu ku format na kuinstall upya.. lkn bado tatizo lipo pale pale(touch screen haifanyi kazi na tatizo la kujirestart)
Any idea how to solve this please
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…