City mall pale Bakwata opposite na jengo la Red cross/Mwinyi Heri Mosque/Kisutu rice marketREDME NOTE 3 AU NOTE 4 Kwa Dar naipata wap na bei gan wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
City mall pale Bakwata opposite na jengo la Red cross/Mwinyi Heri Mosque/Kisutu rice marketREDME NOTE 3 AU NOTE 4 Kwa Dar naipata wap na bei gan wakuu
New brotherRefurb au brand new?
Note 7 pro inaendaje?New brother
Haipo nnapo chukua mimiNote 7 pro inaendaje?
Hakuna redmi note 3 na note 4 mpya kwa sasa tusije danganyana ni refurb au used hizoNew brother
Sidhan km kaulizia simu izo ulizotajaHakuna redmi note 3 na note 4 mpya kwa sasa tusije danganyana ni refurb au used hizo
Sd kwangu itabaki kua sd Tu mitikenge huchoka nguvu halafu ila ngoja waje wajuz zaidi waichambueNaomba kuuliza Chip ya Redmi note 9 (MTK) na Snapdragon ya Redmi 8 ipi ina nguvu zaidi?
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
@Chief-MkwawaNaomba kuuliza Chip ya Redmi note 9 (MTK) na Snapdragon ya Redmi 8 ipi ina nguvu zaidi?
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
Ha ha we jamaa mtu mbad sana, kwa hiyo MTK ndo imekua mitikenge ha haSd kwangu itabaki kua sd Tu mitikenge huchoka nguvu halafu ila ngoja waje wajuz zaidi waichambue
Ndio mitikenge sio nzuri mchaw sd mazeeHa ha we jamaa mtu mbad sana, kwa hiyo MTK ndo imekua mitikenge ha ha
Ila na Mimi kwenye mid-range naunga mkono Snapdragon mazee.
Unakizungumziaje hiki hawa jamaa wstatuua aisee
Yaan mkuu sio poa kabisa. Hebu niambie camera 108MP si hatari?Unakizungumziaje hiki hawa jamaa wstatuua aisee
Tuwe na ubinadamu siyo kila anaekaa kimya kanyea kambi mimi jamaa ameniletea redmi note 5 nayotumia sasa bila tatizo lolote,binadamu matatizo tumeumbiwa sisi sometimes mwamba kwenye mishe mishe hizi hizi za kuagiza vitu mitandaoni kuna step alikosea mamlaka za nchi zimempunguza kasi kwa kumuhifadhi mahala salama who knows!!!Kweli mkuu! Kuna member anaitwa Mwl RCT aliaminika na kila mtu humu, kaja kutokomea na oda za watu.
Nadhan yupo online lakini pia kuna sababu mbali mbali mda mwengine watu wanasikiliza upande mmoja Tu hawaupi nafasi mwingineTuwe na ubinadamu siyo kila anaekaa kimya kanyea kambi mimi jamaa ameniletea redmi note 5 nayotumia sasa bila tatizo lolote,binadamu matatizo tumeumbiwa sisi sometimes mwamba kwenye mishe mishe hizi hizi za kuagiza vitu mitandaoni kuna step alikosea mamlaka za nchi zimempunguza kasi kwa kumuhifadhi mahala salama who knows!!!
Mpeni muda atarudi though kila binadamu anabadilika ila apewe muda kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app