Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Sijawahi agiza kitu online, hivi mzigo ukifika hakuna usumbufu wa kulipa kodi kwa vitu kama simu?
 
Chief Mkwawa anasemaje?
mkuu unatakiwa ufahamu simu kama hizo zinakuwa nzito, nene, kioo na camera mbaya, perfomance mbovu etc yani hapo unanunua tu simu yenye battery kubwa. kama unataka kuitumia kama feature phone kupiga simu, msg whatsapp then sio mbaya ila kama unataka ndio iwe simu yako sijui ucheze magame, uangalie video kwa sana, kurun apps nyingi etc achana nayo.

simu nzuri inayokaa sana na chaji kwa sasa huku ikiwa na mambo mengi ya kisasa ni lenovo vibe p2
-utapata battery kubwa la 5100mah
-soc nzuri yenye perfomance kubwa ya snapdragon 625
-kioo kizuri cha super amoled

india inauzwa around 400,000 kwa version ya 32gb na around 500,000 version ya 64gb
 
Uko sawa Chief Mkwawa ,kuhusu Lenovo vibe P1A42,ninayoitumia Mimi naamin hiyo P2 itakua bomba zaidi ya hii yangu ambayo ina mwaka na miezi mitatu na niliagiza India ,sijutii kabisa.
 
Kuna Hii smartphone inaitwa UMIDIGI Battery yake iko poa
 
Kuna Hii smartphone inaitwa UMIDIGI Battery yake iko poa
wakuu hapa niliweka uzi wa kuzungumzia xiaomi kama ule wa mukulu flani aliozungumzia iphone so hapa tujadili mengi.kuhusu iphone hizo simu zingine zifungulie uzi wke (joking)
 
Hizo simu za Lenovo P2 zinapatiakana wapi kwa Dar kwa bei hizo?
 
Hizo simu za Lenovo P2 zinapatiakana wapi kwa Dar kwa bei hizo?
Nunua mtandao aliexpress zipo ni around dollar 222-240 mpaka inafika bongo mkuu ko ni wastani jiwe 5 na 60 hivi.
Bongo kwanza hazipo na unaweza pigwa si chini ya 800k nakuendelea maana ni simu kali sana.
 
Hayo mambo huwa yanatokea!!!
Nina mshkaji yupo Rochester huwa anatuma mizigo kwa dogo kule Zanzibar karibu mwaka wanne Sasa hata mimi amewahi kunichukulia vitu kule ebay na Amazon hasa wasivyo ship Tz.
Novemba mwaka Jana alimtumia dogo kule zanzibar simu za 1.5milion,
Mzigo ulifika ila kufungua box simu hazipo!!!
Jamaa anasumbuana na watu wa Posta hadi leo.
 
Ila aliexpress wana refund fasta naskia ila ni vizuri tupate somo jinsi ya kuomba ku refund pesa yako ikitokea mambo kama hizi wenye uzoefu mtupe muongo maana hela inauma kwakweli kipindi hiki tena above 500k
 
EBay & aliexpress wote wanakurefund sema uminifu ndiyo unapotea!!!!
Seller wengi kule aliexpress walikuwa wanaship via Singapore post(standard shipping) ila sasa naona wameweka option ya kuship via DHL.
Ladha ya kuagiza inapungua sasa maana gharama za DHL ni kubwa alafu watu wa kodi nao hawachezi mbali.
 
Nunua mtandao aliexpress zipo ni around dollar 222-240 mpaka inafika bongo mkuu ko ni wastani jiwe 5 na 60 hivi.
Bongo kwanza hazipo na unaweza pigwa si chini ya 800k nakuendelea maana ni simu kali sana.
Tatizo la kuagiza nje linabaki pale pale ni kurisk kwa kweli...
Anyway thanks kwa ushauri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…