mkuu unatakiwa ufahamu simu kama hizo zinakuwa nzito, nene, kioo na camera mbaya, perfomance mbovu etc yani hapo unanunua tu simu yenye battery kubwa. kama unataka kuitumia kama feature phone kupiga simu, msg whatsapp then sio mbaya ila kama unataka ndio iwe simu yako sijui ucheze magame, uangalie video kwa sana, kurun apps nyingi etc achana nayo.
simu nzuri inayokaa sana na chaji kwa sasa huku ikiwa na mambo mengi ya kisasa ni lenovo vibe p2
-utapata battery kubwa la 5100mah
-soc nzuri yenye perfomance kubwa ya snapdragon 625
-kioo kizuri cha super amoled
india inauzwa around 400,000 kwa version ya 32gb na around 500,000 version ya 64gb