Nimeona leo pocco m3 store kadhaa wana ship kuja kwetu , kwa hiyo naweza agiza hiyo m3 ikaletwa note 9 4g?Poco na Xiaomi ni kampuni moja, walipozindua poco wamezindua na hio redmi note 9 4g, simu ile ile majina tofauti.
Huku kwetu zinakuja redmi sana kuliko poco
Hapana inakuja hio hio poco,Nimeona leo pocco m3 store kadhaa wana ship kuja kwetu , kwa hiyo naweza agiza hiyo m3 ikaletwa note 9 4g?
note 9 sio note 9s, note 9 inatumimia mediatek helio G85 kama sijaosea, 9s inatumia snapdragon 720G sawa na 9 pro na 9 pro maxkwa redmi note kubwa redmi note 9 pro max, alafu inafuatia note 9 pro chini yake, ya mwisho ni note 9 ambayo kwa india inaitwa note 9s
Mkuu kuagiza redmi note 9s imenishinda, je kwa tz simu gani itanifaa kwa 400k - 500k?note 9 sio note 9s, note 9 inatumimia mediatek helio G85 kama sijaosea, 9s inatumia snapdragon 720G sawa na 9 pro na 9 pro max
perfomance ya 9s, 9 pro na 9 pro max ni moja, utofauti ni camera na fast charging.
mkuu unaweza pata redmi note 8 kwa Tanzania na hio buget ama ukapata A21/A31 sema specs zake haziridhishi mkuu,Naona
Mkuu kuagiza redmi note 9s imenishinda, je kwa tz simu gani itanifaa kwa 400k - 500k?
Kuna jamaa anauza xiaomi note 8 , kwa bei ya Kitanzania 445,000/= hivyo mchek utapata simu n chenji itabakimkuu unaweza pata redmi note 8 kwa Tanzania na hio buget ama ukapata A21/A31 sema specs zake haziridhishi mkuu,
umeshindwa hata kumlipa mr mobile ama mwl rct akuletee?
Ok nimekusoma naona hiyo note 4g Kama haijaingia aliexpress bora nisubiri hiyoHapana inakuja hio hio poco,
Nimemaanisha tu ukanda wetu wa Afrika mashariki zinakuja redmi officially. Ukiagiza nje kinakuja ulichoagiza.
Mkuu naomba mawasiliano nao hawa jamaa, kama utakuwa nayomkuu unaweza pata redmi note 8 kwa Tanzania na hio buget ama ukapata A21/A31 sema specs zake haziridhishi mkuu,
umeshindwa hata kumlipa mr mobile ama mwl rct akuletee?
Hata hio note ina maneno makubwa pale nyuma yanasomeka redmi na inalingana kila kitu nikisema kila kitu namaanisha isipokua tu mpangilio wa kamera. Yaani ni simu moja ila masoko mawili tofautiOk nimekusoma naona hiyo note 4g Kama haijaingia aliexpress bora nisubiri hiyo
Note 9s @ 209 gramms naona Kama itakuwa nzito kubeba and for some reasons specs naa Bei za m3 zinashawishi , I just hate ile signature ya pocco pale nyuma ya simu
Na kwa chinesw version ni gb 128 tu hakun y 64 , luckly nilifanikisha inunua siku iliotoka tu kupitia mtandao wa kichina Tmobile kama sijakosea jina kwa hisan ya bwana@Mr mobile so nafikiri kufika kwake tuHata hio note ina maneno makubwa pale nyuma yanasomeka redmi na inalingana kila kitu nikisema kila kitu namaanisha isipokua tu mpangilio wa kamera. Yaani ni simu moja ila masoko mawili tofauti View attachment 1639680
original mi powebank 10000mah tzs 60kView attachment 1638263View attachment 1638264
View attachment 1638266
sold mkuuNahitaji
Asante mkuu
Mkuu hii inaendaa kwa shingap?