t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,035
- 16,705
Nimeona leo pocco m3 store kadhaa wana ship kuja kwetu , kwa hiyo naweza agiza hiyo m3 ikaletwa note 9 4g?Poco na Xiaomi ni kampuni moja, walipozindua poco wamezindua na hio redmi note 9 4g, simu ile ile majina tofauti.
Huku kwetu zinakuja redmi sana kuliko poco