Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Poco na Xiaomi ni kampuni moja, walipozindua poco wamezindua na hio redmi note 9 4g, simu ile ile majina tofauti.

Huku kwetu zinakuja redmi sana kuliko poco
Nimeona leo pocco m3 store kadhaa wana ship kuja kwetu , kwa hiyo naweza agiza hiyo m3 ikaletwa note 9 4g?
 
Hapana inakuja hio hio poco,

Nimemaanisha tu ukanda wetu wa Afrika mashariki zinakuja redmi officially. Ukiagiza nje kinakuja ulichoagiza.
 
kwa redmi note kubwa redmi note 9 pro max, alafu inafuatia note 9 pro chini yake, ya mwisho ni note 9 ambayo kwa india inaitwa note 9s
 
note 9 sio note 9s, note 9 inatumimia mediatek helio G85 kama sijaosea, 9s inatumia snapdragon 720G sawa na 9 pro na 9 pro max

perfomance ya 9s, 9 pro na 9 pro max ni moja, utofauti ni camera na fast charging.
 
Naona

Mkuu kuagiza redmi note 9s imenishinda, je kwa tz simu gani itanifaa kwa 400k - 500k?
 
mkuu unaweza pata redmi note 8 kwa Tanzania na hio buget ama ukapata A21/A31 sema specs zake haziridhishi mkuu,

umeshindwa hata kumlipa mr mobile ama mwl rct akuletee?
 
Kuna jamaa anauza xiaomi note 8 , kwa bei ya Kitanzania 445,000/= hivyo mchek utapata simu n chenji itabaki
 
Hapana inakuja hio hio poco,

Nimemaanisha tu ukanda wetu wa Afrika mashariki zinakuja redmi officially. Ukiagiza nje kinakuja ulichoagiza.
Ok nimekusoma naona hiyo note 4g Kama haijaingia aliexpress bora nisubiri hiyo
Note 9s @ 209 gramms naona Kama itakuwa nzito kubeba and for some reasons specs naa Bei za m3 zinashawishi , I just hate ile signature ya pocco pale nyuma ya simu
 
kuna jamaa wanauza redmi note 9 pro max kwa sh 695000 hapa tz nimetafuta mtandaoni naona design kama zimeadimika , unayopata seller hafanyi delivery tz au shipping fee kubwa sana
 
mkuu unaweza pata redmi note 8 kwa Tanzania na hio buget ama ukapata A21/A31 sema specs zake haziridhishi mkuu,

umeshindwa hata kumlipa mr mobile ama mwl rct akuletee?
Mkuu naomba mawasiliano nao hawa jamaa, kama utakuwa nayo
 
Ok nimekusoma naona hiyo note 4g Kama haijaingia aliexpress bora nisubiri hiyo
Note 9s @ 209 gramms naona Kama itakuwa nzito kubeba and for some reasons specs naa Bei za m3 zinashawishi , I just hate ile signature ya pocco pale nyuma ya simu
Hata hio note ina maneno makubwa pale nyuma yanasomeka redmi na inalingana kila kitu nikisema kila kitu namaanisha isipokua tu mpangilio wa kamera. Yaani ni simu moja ila masoko mawili tofauti
IMG-20201127-WA0012.jpg
 
Hata hio note ina maneno makubwa pale nyuma yanasomeka redmi na inalingana kila kitu nikisema kila kitu namaanisha isipokua tu mpangilio wa kamera. Yaani ni simu moja ila masoko mawili tofauti View attachment 1639680
Na kwa chinesw version ni gb 128 tu hakun y 64 , luckly nilifanikisha inunua siku iliotoka tu kupitia mtandao wa kichina Tmobile kama sijakosea jina kwa hisan ya bwana@Mr mobile so nafikiri kufika kwake tu
 
Back
Top Bottom