Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Sijajua kama Tanzania Huawei wana maduka yao ila mimi hata ukiniwekea bastola kwenye paji la uso siwezi kununua simu kutoka kwa ngozi nyeusi!Nakushauri nunua onlineNataka kuchukua P30. Tanzania Huawei wanamaduka yao?
Mgogoro wa Huawei na google ulishaisha?Kwa sababu unaweza kununua simu ambayo haina playstore wala haipokei updates!Nakushauri wasiliana kwanza na Chief MkwawaNataka kuchukua P30. Tanzania Huawei wanamaduka yao?
Online huwa nakosa uvumilivu wa kusubiri ifike. Kwanini haumini ngozi nyeusi?Sijajua kama Tanzania Huawei wana maduka yao ila mimi hata ukiniwekea bastola kwenye paji la uso siwezi kununua simu kutoka kwa ngozi nyeusi!Nakushauri nunua online
Online huwa nakosa uvumilivu wa kusubiri ifike. Kwanini haumini ngozi nyeusi?Sijajua kama Tanzania Huawei wana maduka yao ila mimi hata ukiniwekea bastola kwenye paji la uso siwezi kununua simu kutoka kwa ngozi nyeusi!Nakushauri nunua online
Nimeona kwenye simu moja Kuna operating systems mbili. Labda tusubiri wenye ufaham zaidi watupe muongozoMgogoro wa Huawei na google ulishaisha?Kwa sababu unaweza kununua simu ambayo haina playstore wala haipokei updates!Nakushauri wasiliana kwanza na Chief Mkwawa
Asilimia 99 ya simu zinazouzwa Kariakoo ni fake,refurbished na copy!Online huwa nakosa uvumilivu wa kusubiri ifike. Kwanini haumini ngozi nyeusi?
Na si waaminifu kukwambia ukweli.Asilimia 99 ya simu zinazouzwa Kariakoo ni fake,refurbished na copy!
Chief Mkwawa huwa anatoa msaada mkubwa sana,kama una nia ya kununua simu wasiliana nae kwanza akupe msaadaNa si waaminifu kukwambia ukweli.
Jamaa ni mtu poa sana. Huwa ananisaidia sana ushauri kwenye haya maswala ya tech. Nahisi leo yupo busy tu, lakini atakujaChief Mkwawa huwa anatoa msaada mkubwa sana,kama una nia ya kununua simu wasiliana nae kwanza akupe msaada
Kama mfuko unaruhusu kununua Flagship Huawei ni much better compare na Xiaomi, ila kwenye midrange Xiaomi yupo vizuri.Nataka kuchukua P30. Tanzania Huawei wanamaduka yao?
Shukrani kiongozi. Na vipi kuhusu mgogoro wao na Marekani, hakuna athari zozote kwa mtumiaji wa kawaida?Kama mfuko unaruhusu kununua Flagship Huawei ni much better compare na Xiaomi, ila kwenye midrange Xiaomi yupo vizuri.
Huawei walikuwepo official Tanzania, sifahamu kama bado wapo.
P30 haijaathirika ilitoka kabla Ya mgogoro. P40, mate 40 etc ndio zimeathirika.Shukrani kiongozi. Na vipi kuhusu mgogoro wao na Marekani, hakuna athari zozote kwa mtumiaji wa kawaida?
MC3 mkuuGame gani hii Mkuu?
Lakini mkuu mbona sikuoni kwenye chat group yetu ya telegram..!? Tunaomba ujiunge kama hutojali.Kama mfuko unaruhusu kununua Flagship Huawei ni much better compare na Xiaomi, ila kwenye midrange Xiaomi yupo vizuri.
Huawei walikuwepo official Tanzania, sifahamu kama bado wapo.
trump anamalizia pumzi, pengine biden akawaondoa.USA wameshaanza figisu kama walivyo wafanyia Huawei
China ni mnunuzi mkubwa wa vifaa simu vya marekani au tuseme mifumo ya simu Kama hizo os, cpu na vifaa vingine , sasa hapo kufungia kampuni 9 kubwa za kichina kunaweza kutikisa kidogo share za makampuni ya marekani au hiyo imekaaje?trump anamalizia pumzi, pengine biden akawaondoa.