Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nataka kuchukua P30. Tanzania Huawei wanamaduka yao?
Sijajua kama Tanzania Huawei wana maduka yao ila mimi hata ukiniwekea bastola kwenye paji la uso siwezi kununua simu kutoka kwa ngozi nyeusi!Nakushauri nunua online
 
Mgogoro wa Huawei na google ulishaisha?Kwa sababu unaweza kununua simu ambayo haina playstore wala haipokei updates!Nakushauri wasiliana kwanza na Chief Mkwawa
 
Online huwa nakosa uvumilivu wa kusubiri ifike. Kwanini haumini ngozi nyeusi?
 
Nimeona kwenye simu moja Kuna operating systems mbili. Labda tusubiri wenye ufaham zaidi watupe muongozo
 
Nataka kuchukua P30. Tanzania Huawei wanamaduka yao?
Kama mfuko unaruhusu kununua Flagship Huawei ni much better compare na Xiaomi, ila kwenye midrange Xiaomi yupo vizuri.

Huawei walikuwepo official Tanzania, sifahamu kama bado wapo.
 
Shukrani kiongozi. Na vipi kuhusu mgogoro wao na Marekani, hakuna athari zozote kwa mtumiaji wa kawaida?
 
Ukifanya casting kwa RedMi kwenye smart TV Ni tofauti Sana na Oppo. Nimeikubali Sana Oppo, haistuck kabisa
 
Kama mfuko unaruhusu kununua Flagship Huawei ni much better compare na Xiaomi, ila kwenye midrange Xiaomi yupo vizuri.

Huawei walikuwepo official Tanzania, sifahamu kama bado wapo.
Lakini mkuu mbona sikuoni kwenye chat group yetu ya telegram..!? Tunaomba ujiunge kama hutojali.
 
N'body anaweza join hii group ya Telegram, Kikubwa kufata sheria za group tu sabu tuna discuss issues za manunuzi online & na tech kiujumla sio issues za Xiaomi pekee!

Xiaomi Users TZ [emoji1241]

Feel free to share your experiences with others, Your New Xiaomi brands, MIUI New features & Online Shopping and purchases experiences from Aliexpress, Amazon, eBay, Banggood, Taobao, Gearbest, Alibaba e.t.c...!
 
trump anamalizia pumzi, pengine biden akawaondoa.
China ni mnunuzi mkubwa wa vifaa simu vya marekani au tuseme mifumo ya simu Kama hizo os, cpu na vifaa vingine , sasa hapo kufungia kampuni 9 kubwa za kichina kunaweza kutikisa kidogo share za makampuni ya marekani au hiyo imekaaje?
 
Back
Top Bottom