Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu em tuelezee hii kwa kina kidogo kama hutojali, kuna kitu sijaelewa [emoji848]
Iliwahi zungumziwa humu, nautafuta uzi siuoni,

Ila kifupi wakati Xiaomi anakuja Africa 2015 kulikuwa na kampuni inaitwa Mi-Fone hii kampuni waliishtaki Xiaomi Sababu Neno MI tayari wao walishalisajili, vilikuwa ni visimu fulani hivi Angalia hii logo yao kama uliwahi kuziona


HIVYO xiaomi ikabidi ahangaike nao mahakamani sijui aliwalipa, sijui walipatana vipi tena ila kifupi hawaku expand tena, wakabaki tu nchi zile zile.

 
Anha sawa nimekuelewa na nimekumbuka hii issue..
 
Online itachukua muda sana kufika
Lakini ndio ziko na bei ni kati ya 60 - 70k plus shipping

Basi nenda China Plaza pale kajaribu kutafuta, Ukikosa jaribu Kkoo lakini inabidi uwe makini sana..
 
Hivi ni kweli hawa xiaomi wamefungua ofisi/store zao hapa tanzania?
Hakuna taarifa rasmi stay tunned ila kama wangefungua page official isingeishia fb ingeenda na kwa social media zingia like Twitter na the like .Mda utatupa jibu sahihi kiongozi
 
Shukranii, naomba niliekeze napatajee huu mzigo
Tumia forwading agent sheikhe yaan kampuni za usafirishaji kama kina unique aircargo ,hapo bei ya usafir si umeiona shekhe dhl betri anasafirisha kwa zaidi ya laki tatu kaka
 
Top 10 trending phones of week 18 2021
Xiaomi is still the dominant maker in our trending chart in week 18, although the order of the phones has shifted significantly.


It's Redmi Note 10 Pro that took the lead this time, followed by the non-Pro Redmi Note 10 and the Poco X3 Pro.


Last week's leader, the Redmi K40 Gamin is down to fourth ahead of the Poco F3.


The quartet of Samsung phones retains formation with the Galaxy A72 ahead of the A52 5G, S21 Ultra and the vanilla A52. Only this time they have each gained a position and occupy positions sixth through ninth.


The big loser is the Mi 11 Ultra flagship that spend several weeks at the top before plummeting over the past fourteen days and it now finds itself at the foot of the chart. Interestingly however, this time we have the exact same 10 phones as last week, with no newcomers or relegations.









Xiaomi Redmi Note 10 Pro

RANK: 1

WAS: 2


specs review











Xiaomi Redmi Note 10

RANK: 2

WAS: 3


specs review











Xiaomi Poco X3 Pro

RANK: 3

WAS: 4


specs review











Xiaomi Redmi K40 Gaming

RANK: 4

WAS: 1


specs gallery











Xiaomi Poco F3

RANK: 5

WAS: 6


specs review











Samsung Galaxy A72

RANK: 6

WAS: 7


specs review











Samsung Galaxy A52 5G

RANK: 7

WAS: 8


specs gallery











Samsung Galaxy S21 Ultra 5G

RANK: 8

WAS: 9


specs review











Samsung Galaxy A12

RANK: 9

WAS: 10


specs review











Xiaomi Mi 11 Ultra

RANK: 10

WAS:​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…