Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Iliwahi zungumziwa humu, nautafuta uzi siuoni,Mkuu em tuelezee hii kwa kina kidogo kama hutojali, kuna kitu sijaelewa [emoji848]
Ila kifupi wakati Xiaomi anakuja Africa 2015 kulikuwa na kampuni inaitwa Mi-Fone hii kampuni waliishtaki Xiaomi Sababu Neno MI tayari wao walishalisajili, vilikuwa ni visimu fulani hivi Angalia hii logo yao kama uliwahi kuziona
HIVYO xiaomi ikabidi ahangaike nao mahakamani sijui aliwalipa, sijui walipatana vipi tena ila kifupi hawaku expand tena, wakabaki tu nchi zile zile.
Mi against Mi: A look at the brief Xiaomi vs Mi-Fone situation
"No winners when it's me against me, one of us just ain't gonna survive










