Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Leo narudi tena kuuliza wadau ni vichwa vingapi mpka sasa waliosema kupitia uzi huu hawajutii kuijua hii kampuni na bado watazidi kua nayo zaidi na zaidi
Xiaomi ni habari nyingine kabisaaa......hawa jamaa wako njema,phone specs zao sio za kitoto.
 
Kwa Arusha fika ccm mkoa kuna duka linatazamana na jengo la ccm anakuwa nazo, ila cover na protector za Xiomi anauza bei ghali.
Benson pia anazo Xiaomi ila bei jipange.... Pia jaribu kwenda pale stend kubwa kwenye ule mgahawa wanaouita chai ya nazi kuna duka lipo pembeni limeandikwa Donald Mush Electronics wanazo Xiaomi
 
Leo narudi tena kuuliza wadau ni vichwa vingapi mpka sasa waliosema kupitia uzi huu hawajutii kuijua hii kampuni na bado watazidi kua nayo zaidi na zaidi
Xiaomi sijutii kutumia bidhaa zao, namiliki Redmi note 9S pamoja Air 2 SE earphone. Jamaa wanajitahidi, ubarikiwe sana kwa huu uzi, binafsi nilipata kuijua zaidi kampuni ya Xiaomi kupitia uzi huu.
 
Wakuu bajeti yangu ni 800k mpaka 1.5m nahitaji simu aina ya xiaomi.

Ni simu gari nzuri naweza pata inayoendana na bajeti hio?
 
Wakuu bajeti yangu ni 800k mpaka 1.5m nahitaji simu aina ya xiaomi.

Ni simu gari nzuri naweza pata inayoendana na bajeti hio?
Kwa around hio laki 8, xiaomi 11 lite 5G NE ama Poco F3, 11 lite 5G ni all around simu nzuri na Poco F3 ina perfomance kubwa kwa bei nafuu.

Kama una fika hio 1.5m nenda na flagship moja kwa moja, MI 10 kama Kilangi masanja alivyokushauri, flagship zinakuwa nzuri sana upande wa display na camera.
 
Nataka namimi nijichange ninunue redmi 9T nimeona camera yake ni 48MP vip wadau niichukue npo nahofu mana nimeshaitumia redmi 9C camera yake ilikuwa majanga naalaf zipo tatu
 
Nataka namimi nijichange ninunue redmi 9T nimeona camera yake ni 48MP vip wadau niichukue npo nahofu mana nimeshaitumia redmi 9C camera yake ilikuwa majanga naalaf zipo tatu
Chua hyo 9t mm nmetumia 9 na camera yake
Iko bomba alaf 9t ndo kubwa kuliko 9
 
Unasifu ukiwa na bidhaa ipi ya xiaomi kiongozi
kwa budget yangu ndogo, 260K nilinunua redmi 8a AliExpress, kwa kweli nilipata 4Gb RAM na 64GB internal pamoja na gorila glass 5 😋😋😋, baada ya kuweka gcam saivi wa Samsung a20 wote hawanipati kabisa hapa mtaani.
Xiaomi ni shikamoo mkombozi wa wanyonge🙌🙌🙌.
OVA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…