Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Tigo shop Angalia.Mwenye kujua maduka ya Xiaomi Arusha au Moshi plse
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tigo shop Angalia.Mwenye kujua maduka ya Xiaomi Arusha au Moshi plse
Xiaomi ni habari nyingine kabisaaa......hawa jamaa wako njema,phone specs zao sio za kitoto.Leo narudi tena kuuliza wadau ni vichwa vingapi mpka sasa waliosema kupitia uzi huu hawajutii kuijua hii kampuni na bado watazidi kua nayo zaidi na zaidi
Unasifu ukiwa na bidhaa ipi ya xiaomi kiongoziXiaomi ni habari nyingine kabisaaa......hawa jamaa wako njema,phone specs zao sio za kitoto.
Kwa Arusha fika ccm mkoa kuna duka linatazamana na jengo la ccm anakuwa nazo, ila cover na protector za Xiomi anauza bei ghali.Mwenye kujua maduka ya Xiaomi Arusha au Moshi plse
Vipi kuhusu simu bei anauzaje?Kwa Arusha fika ccm mkoa kuna duka linatazamana na jengo la ccm anakuwa nazo, ila cover na protector za Xiomi anauza bei ghali.
Benson pia anazo Xiaomi ila bei jipange.... Pia jaribu kwenda pale stend kubwa kwenye ule mgahawa wanaouita chai ya nazi kuna duka lipo pembeni limeandikwa Donald Mush Electronics wanazo XiaomiKwa Arusha fika ccm mkoa kuna duka linatazamana na jengo la ccm anakuwa nazo, ila cover na protector za Xiomi anauza bei ghali.
Niko na Xiaomi redmi note 10s kamanda....ni mwendo wa kuteleza tu,achaaaaUnasifu ukiwa na bidhaa ipi ya xiaomi kiongozi
Xiaomi sijutii kutumia bidhaa zao, namiliki Redmi note 9S pamoja Air 2 SE earphone. Jamaa wanajitahidi, ubarikiwe sana kwa huu uzi, binafsi nilipata kuijua zaidi kampuni ya Xiaomi kupitia uzi huu.Leo narudi tena kuuliza wadau ni vichwa vingapi mpka sasa waliosema kupitia uzi huu hawajutii kuijua hii kampuni na bado watazidi kua nayo zaidi na zaidi
Tuko pamojaXiaomi sijutii kutumia bidhaa zao, namiliki Redmi note 9S pamoja Air 2 SE earphone. Jamaa wanajitahidi, ubarikiwe sana kwa huu uzi, binafsi nilipata kuijua zaidi kampuni ya Xiaomi kupitia uzi huu.
Mi 11 lite inakutoshaWakuu bajeti yangu ni 800k mpaka 1.5m nahitaji simu aina ya xiaomi.
Ni simu gari nzuri naweza pata inayoendana na bajeti hio?
Huu ni mtambo wa kibabe sio mchezo, achukue hiiMi 11 lite inakutosha
Chukua Mi 10 kwa hio 1.5 utapata ni nzuri zaidi kiongoziWakuu bajeti yangu ni 800k mpaka 1.5m nahitaji simu aina ya xiaomi.
Ni simu gari nzuri naweza pata inayoendana na bajeti hio?
Mi 11 lite inakutosha
5G version, MI 11 lite yenyewe ni simu ya kawaida.Huu ni mtambo wa kibabe sio mchezo, achukue hii
Kwa around hio laki 8, xiaomi 11 lite 5G NE ama Poco F3, 11 lite 5G ni all around simu nzuri na Poco F3 ina perfomance kubwa kwa bei nafuu.Wakuu bajeti yangu ni 800k mpaka 1.5m nahitaji simu aina ya xiaomi.
Ni simu gari nzuri naweza pata inayoendana na bajeti hio?
Chua hyo 9t mm nmetumia 9 na camera yakeNataka namimi nijichange ninunue redmi 9T nimeona camera yake ni 48MP vip wadau niichukue npo nahofu mana nimeshaitumia redmi 9C camera yake ilikuwa majanga naalaf zipo tatu
Redmi 9 cjaijutia kabisa KwanzaLeo narudi tena kuuliza wadau ni vichwa vingapi mpka sasa waliosema kupitia uzi huu hawajutii kuijua hii kampuni na bado watazidi kua nayo zaidi na zaidi
kwa budget yangu ndogo, 260K nilinunua redmi 8a AliExpress, kwa kweli nilipata 4Gb RAM na 64GB internal pamoja na gorila glass 5 😋😋😋, baada ya kuweka gcam saivi wa Samsung a20 wote hawanipati kabisa hapa mtaani.Unasifu ukiwa na bidhaa ipi ya xiaomi kiongozi