Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,611
- 2,881
ungeweka gcam mkuu, walau ungespot differenceNataka namimi nijichange ninunue redmi 9T nimeona camera yake ni 48MP vip wadau niichukue npo nahofu mana nimeshaitumia redmi 9C camera yake ilikuwa majanga naalaf zipo tatu
Mkuu sijaulizia aina zote, kuna redmi 9 alinitajia 350k ila sikuwa nikihitaji kununua.Vipi kuhusu simu bei anauzaje?
NENDA TIGO SHOP KADAKE NOTE 10 NA CHENJI IBAKI USISHAU KUCHUKUA LAIN YA TIGO ILI UKAPATE BONUS YA BANDO LAO ,BEI NI 450 NIMETOKA MCHUKULIA WIFE APA NAINJOI BANDO LA KITONGA TUWakuu habari zenu. Na mimi nataka kununua redmi sasa nimesoma sifa zake nimeridhika.
Naomba kuuliza hv tofauti kati ya redmi note 8,9, 10 na note 8,9,10 pro nini. Nataka kujua hiyo pro ina nn cha ziada. Pia naomba mnitajie simu ya redmi yenye bajeti ya kawaida isizidi laki 5, ambayo ina camera nzuri na space kubwa angalau 128 gb. Mi ni mpenzi wa picha sana na space kwa kutunza vitu km movie hv. Asanteni
Vipi hiyo uliyochukua, inakubali laini za mtandao mwingine kwenye Laini 1. Je kwenye laini 2 inashika 4GNENDA TIGO SHOP KADAKE NOTE 10 NA CHENJI IBAKI USISHAU KUCHUKUA LAIN YA TIGO ILI UKAPATE BONUS YA BANDO LAO ,BEI NI 450 NIMETOKA MCHUKULIA WIFE APA NAINJOI BANDO LA KITONGA TU
Hapa line ya VODA iko line2 na ni 4GVipi hiyo uliyochukua, inakubali laini za mtandao mwingine kwenye Laini 1. Je kwenye laini 2 inashika 4G
Asante sana, na tofauti kati ya note 10 pro na note 10 isiyo pro ni nini. Nàona nyingi zinakuwa 8 na 8 pro au 9 na 9 pro. Hiyo pro ina nn cha ziada ?NENDA TIGO SHOP KADAKE NOTE 10 NA CHENJI IBAKI USISHAU KUCHUKUA LAIN YA TIGO ILI UKAPATE BONUS YA BANDO LAO ,BEI NI 450 NIMETOKA MCHUKULIA WIFE APA NAINJOI BANDO LA KITONGA TU
Una maanisha 40,000?Bajeti yangu ni 40k nichukue Aina gani ya Xiaomi?
Vipi hiyo uliyochukua, inakubali laini za mtandao mwingine kwenye Laini 1. Je kwenye laini 2 inashi
Namaanisha 400k = 400,000Una maanisha 40,000?
redmi note 8 ya 2021Namaanisha 400k = 400,000
Hii unaipata tigo kwa 280,000 tu ni simu kali sana kwa bei hiyo nimeichukua inawafunika wachina wenzake mbali sanaMkuu sijaulizia aina zote, kuna redmi 9 alinitajia 350k ila sikuwa nikihitaji kununua.
Chukua redmi 10 kwa 450,000 kwenye maduka ya tigo unapata na gb 6 kila mwezi kwa mwaka mzima wahi udake moja kabla hazijaisha bidhaa ni chache, pitia tigo shop msimbazi kkoo kwa maelezo zaidiBajeti yangu ni 40k nichukue Aina gani ya Xiaomi?
Redmi 10 kwa hio bei ni useless kabisa ila kMa ni note 10 axhukueChukua redmi 10 kwa 450,000 kwenye maduka ya tigo unapata na gb 6 kila mwezi kwa mwaka mzima wahi udake moja kabla hazijaisha bidhaa ni chache, pitia tigo shop msimbazi kkoo kwa maelezo zaidi
Note 10 hamna siku hizi labda note 10 pro kwa 550,000Redmi 10 kwa hio bei ni useless kabisa ila kMa ni note 10 axhukue
wanatuzingua tu ...hawataki kutaja bei...sasa kama ndio ivyo ni bora tubaki na ma samsung yetu tu maana kama mimi bado najivunia tu ma superbrandHumu jf kuna kitu kinaitwa bei rahisi,ila haifahamiki ni shingapi.
Mkuu tuexchange nikuongeze helaGrab this Offer Now!
Xiaomi Redmi Note 10 (Global Version)
Rom: 128 GB ( store more videos, photos,etc)
Ram : 4 GB
Condition: Used for 3 Months
Battery: 5000Mah- 12 hrs +
Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ
OFFER: 400,000 TZs (Negotiable)
DM is Open for interested Buyers.View attachment 2029447View attachment 2029448View attachment 2029449View attachment 2029450View attachment 2029451
Sorry nilishaiuza. Thanks.Mkuu tuexchange nikuongeze hela