Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Nataka namimi nijichange ninunue redmi 9T nimeona camera yake ni 48MP vip wadau niichukue npo nahofu mana nimeshaitumia redmi 9C camera yake ilikuwa majanga naalaf zipo tatu
ungeweka gcam mkuu, walau ungespot difference
 
Wakuu habari zenu. Na mimi nataka kununua redmi sasa nimesoma sifa zake nimeridhika.
Naomba kuuliza hv tofauti kati ya redmi note 8,9, 10 na note 8,9,10 pro nini. Nataka kujua hiyo pro ina nn cha ziada. Pia naomba mnitajie simu ya redmi yenye bajeti ya kawaida isizidi laki 5, ambayo ina camera nzuri na space kubwa angalau 128 gb. Mi ni mpenzi wa picha sana na space kwa kutunza vitu km movie hv. Asanteni
 
NENDA TIGO SHOP KADAKE NOTE 10 NA CHENJI IBAKI USISHAU KUCHUKUA LAIN YA TIGO ILI UKAPATE BONUS YA BANDO LAO ,BEI NI 450 NIMETOKA MCHUKULIA WIFE APA NAINJOI BANDO LA KITONGA TU
 
Vipi hiyo uliyochukua, inakubali laini za mtandao mwingine kwenye Laini 1. Je kwenye laini 2 inashika 4G
 
NENDA TIGO SHOP KADAKE NOTE 10 NA CHENJI IBAKI USISHAU KUCHUKUA LAIN YA TIGO ILI UKAPATE BONUS YA BANDO LAO ,BEI NI 450 NIMETOKA MCHUKULIA WIFE APA NAINJOI BANDO LA KITONGA TU
Asante sana, na tofauti kati ya note 10 pro na note 10 isiyo pro ni nini. Nàona nyingi zinakuwa 8 na 8 pro au 9 na 9 pro. Hiyo pro ina nn cha ziada ?
 
Mkuu sijaulizia aina zote, kuna redmi 9 alinitajia 350k ila sikuwa nikihitaji kununua.
Hii unaipata tigo kwa 280,000 tu ni simu kali sana kwa bei hiyo nimeichukua inawafunika wachina wenzake mbali sana
 
Bajeti yangu ni 40k nichukue Aina gani ya Xiaomi?
Chukua redmi 10 kwa 450,000 kwenye maduka ya tigo unapata na gb 6 kila mwezi kwa mwaka mzima wahi udake moja kabla hazijaisha bidhaa ni chache, pitia tigo shop msimbazi kkoo kwa maelezo zaidi
 
Redmi 10 kwa hio bei ni useless kabisa ila kMa ni note 10 axhukue
 
Humu jf kuna kitu kinaitwa bei rahisi,ila haifahamiki ni shingapi.
wanatuzingua tu ...hawataki kutaja bei...sasa kama ndio ivyo ni bora tubaki na ma samsung yetu tu maana kama mimi bado najivunia tu ma superbrand
 
Grab this Offer Now!
Xiaomi Redmi Note 10 (Global Version)
Rom: 128 GB ( store more videos, photos,etc)
Ram : 4 GB

Condition: Used for 3 Months
Battery: 5000Mah- 12 hrs +
Delivery: From Dar es Salaam to any region in TZ

OFFER: 400,000 TZs (Negotiable)

DM is Open for interested Buyers.
IMG_20211127_164659.jpg
IMG_20211127_164707.jpg
IMG_20211127_164722.jpg
IMG_20211127_164727.jpg
IMG_20211127_164748.jpg
 
Back
Top Bottom