Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Xiaomi, simu zao latest nyingi zinaanzia na 5.0-inch
Ukita umbo la iphone ipo hii Xiaomi miA1 ipo kama Iphone 7 Plus
okay.dah bas itabidi nirudi tena kwa iphone 5s au SE maana ndo nakua huru zaidi kwa cm ya inch 4
 
Mkuu hii kuiagiza mpaka ifike sh ngap
 
msaada fundi wa software, nina xiaomi redmi 4x china rom sasa nataka mniwekee global rom maana inanitesa
 
Wakubwa nimeona kama Xiaomi india.com wana bei ya chini kuliko hata gearbest Na banggood au aliexpesss
Unaweza weka hiyo link mkuu
Maana hii india.com inaleta ma blog tu kibao ya india ya udaku
 
kuna mtu nimemuona anauza Xiaomi Mi A1 750k huko Zoom!!
najiuliza hizo simu anamuuzia nani??
 
Hii thread ili ni inspire sana kutumia simu xiaomi.
Nikaagiza yangu xiaomi mi5x (MiA1) kupitia huduma ya Mwl. RCT mnamo tarehe 3january nilipokea mzigo wangu.
Na enjoy tu...
imekugharimu kiasi gani boss?
 
Wakuu nimesoma thread nzima mdo naimaliza,,nimeona kati ya hizo simi hizi mbili moja wapo itanifaa,,napenda sana picha nzuri so mnishauri kati ya MI MIX 2 au MI6?kuna mtu anakuja nataka kumuagiza ASAP @chiefmkwawa msauziy
Cheers
 
Mix 2. Hii ni high-end smartphone nzuri sana.
18:9 screen, 5.99" Full screen display
12% reduced chin size
Hidden speaker & proximity sensor
Snapdragon 835, 6GB RAM
Sony IMX386 sensor, 1.25μm large pixels
4-axis optical image stabilization
Four-sided curved ceramic body
7-series aluminum alloy frame
Global LTE support, 6 modes 43 bands


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…