Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Sometimes ujifunze kuangalia bei kabla ya kulalamika, bei ni Euro 150 then unategemea kamera iwe kama simu za Euro 300?Wachina kwa uongo ndio wewenyewe, ukicheki specification unaweza dhani hiyo simu ni midrange kumbe ni lowend shit
Kati ya Redmi 12, Redmi Note 12, Redmi Note 12 Pro 4G, zote ROM 128, RAM 8GB, ipi ni kali zaidi?naona upande wa bei zinatofautiana sana.Sometimes ujifunze kuangalia bei kabla ya kulalamika, bei ni Euro 150 then unategemea kamera iwe kama simu za Euro 300?
Pia Redmi Note 12 5G ni bora kuliko "Redmi Note 12 4G"
Uzuri ni kwamba hapa Bongo zimejaa Redmi Note 12 5G na hiyo ndio recommended one, sio hii Redmi Note 12 4G.
Redmi Note 12 4G iko chini
ukifananisha na "Redmi Note 12 5G"
All in all, Redmi Note 12 4G sio midrange, ni low end na ina offer mambo ambayo hautayapata kwenye simu nyingine yoyote ile ya Euro 150
Kwa bei hii, ni bora uongeze ela ununue simu nyingine mpya.Habari watumiaji wa Xiaomi....Nina changamoto kidogo kwenye simu yangu ambayo ni Redmi 10C ilitumbukia ziwani ikanasa kwenye mapango ya mawe na ilikaa Kwa masaa sita kwenye maji sasa baada ya kuitoa kesho yake nikapeleka Kwa fundi alikausha maji na alifanikiwa kuiwasha lakini ilikaa kama nusu saa then ikazima na haikuwaka Tena na fundi ali give up akasema nipeleke Kwa wenye ujuzi Zaid....nikapeleka Kwa fundi mwingine baada ya kuikagua akasema circuit ya simu imekufa na kupata nyingine ni ngumu maana simu yenyewe sio common sana ....naombeni ushauri wenu nikomae kutafuta hiyo circuit au niachane nayo tu na Kwa uzoefu wenu simu itapona au ndo kupoteza muda na pesa??
Ambayo hamna frame inahitaji utaaalamu na umakani mkubwa sana kuiweka, kwa hawa mafundi wetu bora uchukue yenye frameHabari wanaxiomi, Mimi natumia redmi note 11s, tatizo imeharibika touch, nimejaribu kuangalia bei Alliepress naona kuna touch yenye frame na isiyo na frame na zinapishana mbali bei, je naweza kuchukua isiyo na frame?View attachment 2714978
Chukua yenye frame ni easy kuweka...Habari wanaxiomi, Mimi natumia redmi note 11s, tatizo imeharibika touch, nimejaribu kuangalia bei Alliepress naona kuna touch yenye frame na isiyo na frame na zinapishana mbali bei, je naweza kuchukua isiyo na frame?View attachment 2714978
11R ni Chinese version inamiss band chache za 4g na kwa kuzingatia kuwa maeneo mengi tz hamna 5g. Chukua RN11 global ina band zote muhimu za 4gWadau kati ya redmi note 11 na redmi note 11R 5G ipi iko poa kwa parformance ya mtandaoni na bettery bt bajeti yangu n zle znye GB64 na Matumizi yangu makubwa ni mtandaoni je hizi simu ipi inaweza kutoboa na chaji kutoka 2 asubuhi mpka 2 usiku?
Nunua Redmi 10C utanishukuruwadau kwa bajeti ya 350 mnashauri ninunue simu gani?
poa ila nimeenda tigo wanauza hiyo 10c RAM3 na internal 64 ndio 350, mbona kama uwezo mdogoNunua Redmi 10C utanishukuru
Wanauza ghali. Ninayo mpya 64GB @ 310,000 Kama upo Arusha au una mtu Arushapoa ila nimeenda tigo wanauza hiyo 10c RAM3 na internal 64 ndio 350, mbona kama uwezo mdogo
Nenda kaliakoo china plaza ram Gb 5 exteno Gb 64 inauzwa 340poa ila nimeenda tigo wanauza hiyo 10c RAM3 na internal 64 ndio 350, mbona kama uwezo mdogo
Nimenunua redmi 12 pro ram 8 storage 256 Kwa 570,000/= jiongezee uchukue huo mzigoWakuu, nataka kununua simu ya redmi, rm4 - 6/128gb bajeti yangu ni laki 4 adi 5,
Ni ipi nzuri inafaa kwa picha na inayokaa na chaji na mengineyo muhimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo vizuri sana mkuu huo mzigo??Nimenunua redmi 12 pro ram 8 storage 256 Kwa 570,000/= jiongezee uchukue huo mzigo
Yeah uko poua