Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Sometimes ujifunze kuangalia bei kabla ya kulalamika, bei ni Euro 150 then unategemea kamera iwe kama simu za Euro 300?Wachina kwa uongo ndio wewenyewe, ukicheki specification unaweza dhani hiyo simu ni midrange kumbe ni lowend shit
Pia Redmi Note 12 5G ni bora kuliko "Redmi Note 12 4G"
Uzuri ni kwamba hapa Bongo zimejaa Redmi Note 12 5G na hiyo ndio recommended one, sio hii Redmi Note 12 4G.
Redmi Note 12 4G iko chini
ukifananisha na "Redmi Note 12 5G"
All in all, Redmi Note 12 4G sio midrange, ni low end na ina offer mambo ambayo hautayapata kwenye simu nyingine yoyote ile ya Euro 150