Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kupitia jukwaa hili nauza jbl charge 5 yangu ikiwa katika hali nzur kabisa
.Kwa atakayewiwa nitampatia aikague kisha tufanye biashara .Bei ni400000Tsh ,mazungumzo yapo
 

Attachments

  • IMG20240227173232.jpg
    3.2 MB · Views: 15
  • IMG20240128182858.jpg
    5.1 MB · Views: 17
  • IMG20240128182905.jpg
    4.2 MB · Views: 16
 
Iyo Turbo Ya ukubwa gani Chief kwa iyo bei?
 
Iyo Turbo Ya ukubwa gani Chief kwa iyo bei?
Imetoka nyengine mkuu Kureplace hio inaitwa Turbo 3,

Pia hizi simu kila kitu ni top notch kwa bei husika, so hata uchukue version ndogo kabisa itakua na ram 12GB na Storage 256GB na version kubwa inaenda ram hadi 16GB na Storage 1TB.

Kwa masoko ya China Inatembea kama 580K sasa hivi mpaka kuleta hapa 600-700K hivi.
 
Xiomi, Note 11 pro 5G, Xiomi Note 13pro 5G, Camera na speed zipo vizuri, nachokubali zaidi ni hii second space, kwamba AI ikigundua simu yangu haijashikwa na mimi mwenyewe, ama itifaki haijazingatiwa, basi moja kwa moja itakupeleka kwenye second space, huko hutoambua chochote kuhusu mimi, utakuwa umechochola mazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…