Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Xiaomi Mi 11 ultra 12gb ram 512gb ROM Nani mwenye Huu mtambo
-333262232-754184971.jpg
 
Kupitia jukwaa hili nauza jbl charge 5 yangu ikiwa katika hali nzur kabisa
.Kwa atakayewiwa nitampatia aikague kisha tufanye biashara .Bei ni400000Tsh ,mazungumzo yapo
 

Attachments

  • IMG20240227173232.jpg
    IMG20240227173232.jpg
    3.2 MB · Views: 15
  • IMG20240128182858.jpg
    IMG20240128182858.jpg
    5.1 MB · Views: 17
  • IMG20240128182905.jpg
    IMG20240128182905.jpg
    4.2 MB · Views: 16
 
Kwa simu ya haraka haraka ambayo unanunua tu ni Redmi note 12 Tigoshop inaanzia 430,000 sema simu za redmi hizi zinataka Gcam unadownload ili kuongeza Quality ya picha. Sema hizi simu ni low/mid range hivyo expectation zako nazo zisiwe kubwa.

Alternative ni simu za Kuagizishia China Redmi note 12 Turbo, around 550,000
Iyo Turbo Ya ukubwa gani Chief kwa iyo bei?
 
Iyo Turbo Ya ukubwa gani Chief kwa iyo bei?
Imetoka nyengine mkuu Kureplace hio inaitwa Turbo 3,

Pia hizi simu kila kitu ni top notch kwa bei husika, so hata uchukue version ndogo kabisa itakua na ram 12GB na Storage 256GB na version kubwa inaenda ram hadi 16GB na Storage 1TB.

Kwa masoko ya China Inatembea kama 580K sasa hivi mpaka kuleta hapa 600-700K hivi.
 
Xiomi, Note 11 pro 5G, Xiomi Note 13pro 5G, Camera na speed zipo vizuri, nachokubali zaidi ni hii second space, kwamba AI ikigundua simu yangu haijashikwa na mimi mwenyewe, ama itifaki haijazingatiwa, basi moja kwa moja itakupeleka kwenye second space, huko hutoambua chochote kuhusu mimi, utakuwa umechochola mazima.
 
Back
Top Bottom