azyzy omary
JF-Expert Member
- Dec 8, 2020
- 863
- 1,293
Wakuu msaada wa gcam ya redmi note 12pro 4g
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mi sio Xiaomi. Ungekuwa uzi wa Samsung ungeuliza kama wanacomment wengi wa Note series wewe mwenye S series vipi.Humu ni redmi tu ama na wa mi13 ultra tunacomment humu humu
Chukuwa redmi note 11S ,,camera 108 ,,mkuu nimeangalia alliepress, redmi 12 turbo zipo Chinese version tu hazipo Global version ama sio shida? na camera ya nyuma ni 64, ila Mimi nilipenda angalau camera ya 108 mp
Udake mjini pndou kaka umepoa sana bei kwa sasaXiaomi Mi 11 ultra 12gb ram 512gb ROM Nani mwenye Huu mtamboView attachment 2827076
Nikuagizie AliExpress?Wazee Mimi natafta mkanda wa Redmi Note 11pro 5g, mkanda wa simcard na Ile tray ya Simcard
mkuuNikuagizie AliExpress?
Iyo Turbo Ya ukubwa gani Chief kwa iyo bei?Kwa simu ya haraka haraka ambayo unanunua tu ni Redmi note 12 Tigoshop inaanzia 430,000 sema simu za redmi hizi zinataka Gcam unadownload ili kuongeza Quality ya picha. Sema hizi simu ni low/mid range hivyo expectation zako nazo zisiwe kubwa.
Alternative ni simu za Kuagizishia China Redmi note 12 Turbo, around 550,000
Ni changamoto gani unaipata? Hiyo tray ina shida gani?Wazee Mimi natafta mkanda wa Redmi Note 11pro 5g, mkanda wa simcard na Ile tray ya Simcard
Imetoka nyengine mkuu Kureplace hio inaitwa Turbo 3,Iyo Turbo Ya ukubwa gani Chief kwa iyo bei?