Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Muwe mnatypia na vipicha wanduguBrand new Xiaomi Redmi 5 plus
32 GB internal, RAM 3GB, Qualcom Snapdragon 625 Android 8.1 Oreo kwa Tsh. 390k.....
nicheck whatsapp au piga 0656166717 kwa maelezo zaidi.NB. Simu ni mpya kabisa full box(literally new)
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu picha ziko namba imewekwa hapo so kama utahitaji na uko serious nicall au nitext whatsapp ntakutumia.
Mi zipo kwa wale jamaa wanaojiita highlife Tanzania na pale Morocco kituo cha mwendo kasi ila bei zao [emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️Unajua juzi hapa nimeenda kariakoo,kununua simu,nikakutana na jamaa mmoja ana simu nyingi tu hizi za kichina,anauza oppo,mi,nk.sasa watu wamejaa dukani kwake nikajua mzigo umekubalika,nasogea nakuta malalamiko watu wanataka kurudisha jamaa anambwela.
Sikuchukua mahitimisho ya jumla kwamba simu ni mbovu,ila kariakoo unaweza usipate kitu unachohitaji kwa ubora,kuwa makini sana na pesa yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi zipo kwa wale jamaa wanaojiita highlife Tanzania na pale Morocco kituo cha mwendo kasi ila bei zao [emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️[emoji124]♀️
Hata 2.5m bado ni bei ya mashaka, maana kwa dola unainunua, na ukinunua sehemu kama amazon wanakukata na kodi juu kwa juu, plus usafirishaji kuja bongo na faida yake.Kuna mmoja nilikutana naye insta anainadi oppo find x kabla haijafika bongo,watu wanamuuliza shingapi ndugu huu mzigo,akawa mkweli kwamba haijaja bado ila ikija itacheza kwenye milioni moja hivi.mhhhhh,wakati ukiitizama amazon ni $ 1032!!!.mimi nikawa nashangaa nikajiapiza kama kweli ataiuza kwa bei hii nitakuwa wa kwanza kumuona....siku imefika nakuta pricetag 2.5ml nikajisemea"nilitaka kushangaa"
Hata 2.5m bado ni bei ya mashaka, maana kwa dola unainunua, na ukinunua sehemu kama amazon wanakukata na kodi juu kwa juu, plus usafirishaji kuja bongo na faida yake.
Hao watengenezaji ama wafanyabiashara?Hawa jamaa wanatupiga sana sijui kwanini.
Hata 2.5m bado ni bei ya mashaka, maana kwa dola unainunua, na ukinunua sehemu kama amazon wanakukata na kodi juu kwa juu, plus usafirishaji kuja bongo na faida yake.
Kwa nguvu ya simu ipo vizuri kama highend nyengine ila review za mwanzo zinaonesha display ina lag na quality ya simu overall kwenye material waliyotumia sio nzuri kama highend nyengine.View attachment 858989Unaionaje Poco F1 by Xiaomi? Ni high-end nzuri uki compare na high-end nyingine za Xiaomi? Coz nimeiona inapatika chini ya US$ 400, na specs zake ni premium.
Hao watengenezaji ama wafanyabiashara?
Bongo ujanja ujanja tu, nilikuwa na hope sana na jumia kipindi kile wanadeal na makampuni tu na kuiacha kaymu kudeal na wafanya biashara wadogo, ila jumia ya sasa ni Aggrey B.Wafanya biashara wa kariakoo.
Watanzania Aisee hapa tunaongelea xiaomi wew unaongelea iPhone au ndo kujisifu
Huu mzigo naukubali sana sema mm nikaanua xiami redmi 5 plus yenye 64gb na 4gb ramHapana, hazina ukubwa wa kutosha ipo size ya kawaida na ergonomics design, usisite hizi ni za kawaida tu mm kila mara nimekuwa nikiziagizaView attachment 848600View attachment 848601View attachment 848603View attachment 848604View attachment 848605
Sent using Jamii Forums mobile app