Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mkuu hizi xiaomi mi mix naipata kwa pesa ngapi mpaka mkononi???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi Mix 3 ipo njiani pia
review1st_1___BnJWzJoBVhh___.jpeg
review1st_2___BnJWzJoBVhh___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Brand new Xiaomi Redmi 5 plus
32 GB internal, RAM 3GB, Qualcom Snapdragon 625 Android 8.1 Oreo kwa Tsh. 390k.....
nicheck whatsapp au piga 0656166717 kwa maelezo zaidi.NB. Simu ni mpya kabisa full box(literally new)
Niko Dodoma kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua juzi hapa nimeenda kariakoo,kununua simu,nikakutana na jamaa mmoja ana simu nyingi tu hizi za kichina,anauza oppo,mi,nk.sasa watu wamejaa dukani kwake nikajua mzigo umekubalika,nasogea nakuta malalamiko watu wanataka kurudisha jamaa anambwela.

Sikuchukua mahitimisho ya jumla kwamba simu ni mbovu,ila kariakoo unaweza usipate kitu unachohitaji kwa ubora,kuwa makini sana na pesa yako.

Mi zipo kwa wale jamaa wanaojiita highlife Tanzania na pale Morocco kituo cha mwendo kasi ila bei zao [emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️[emoji124]‍♀️
 
Kuna mmoja nilikutana naye insta anainadi oppo find x kabla haijafika bongo,watu wanamuuliza shingapi ndugu huu mzigo,akawa mkweli kwamba haijaja bado ila ikija itacheza kwenye milioni moja hivi.mhhhhh,wakati ukiitizama amazon ni $ 1032!!!.mimi nikawa nashangaa nikajiapiza kama kweli ataiuza kwa bei hii nitakuwa wa kwanza kumuona....siku imefika nakuta pricetag 2.5ml nikajisemea"nilitaka kushangaa"
 
Hata 2.5m bado ni bei ya mashaka, maana kwa dola unainunua, na ukinunua sehemu kama amazon wanakukata na kodi juu kwa juu, plus usafirishaji kuja bongo na faida yake.
 
Hawa jamaa wanatupiga sana sijui kwanini.
 
Hata 2.5m bado ni bei ya mashaka, maana kwa dola unainunua, na ukinunua sehemu kama amazon wanakukata na kodi juu kwa juu, plus usafirishaji kuja bongo na faida yake.
-17186890871535912713.jpeg
Unaionaje Poco F1 by Xiaomi? Ni high-end nzuri uki compare na high-end nyingine za Xiaomi? Coz nimeiona inapatika chini ya US$ 400, na specs zake ni premium.
 
View attachment 858989Unaionaje Poco F1 by Xiaomi? Ni high-end nzuri uki compare na high-end nyingine za Xiaomi? Coz nimeiona inapatika chini ya US$ 400, na specs zake ni premium.
Kwa nguvu ya simu ipo vizuri kama highend nyengine ila review za mwanzo zinaonesha display ina lag na quality ya simu overall kwenye material waliyotumia sio nzuri kama highend nyengine.

Kifupi ni simu nzuri kwa geeks na wanaojua umuhimu wa processor yenye nguvu wasiojali vitu kama kupiga simu, mambo ya selfie selfie, muonekano wa simu etc
 
Back
Top Bottom