Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Jamani ni mara mbili niachane na samsung j5 prime niungane na xiaomi maanaa zinanivutia kwa maneno mazuri
 
Jamani ni mara mbili niachane na samsung j5 prime niungane na xiaomi maanaa zinanivutia kwa maneno mazuri
J5 prime ni nzuri kiasi niliwai kupewa niitumie kipindi cha nyuma, ila iliniboa kwenye ukaaji wa charge na inatumia screen za PLS TFT capacitive touchscreen, badala ya Super Amoled. Ila J series walizozitoa mwaka huu nimezikubali mno, ila bei ndio tatizo, ni mara kumi nisubiri 3 weeks kuisubiria Xiaomi
 
Hao watengenezaji ama wafanyabiashara?
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kutumia?
 
Exchange na infinix hot 6 pro brand new boxed?
 
View attachment 858989Unaionaje Poco F1 by Xiaomi? Ni high-end nzuri uki compare na high-end nyingine za Xiaomi? Coz nimeiona inapatika chini ya US$ 400, na specs zake ni premium.
Hii mpaka mkononi kiasi gani?
 
Mkuu samahani,simu yangu matangazo yanakuwa mengi mno hadi simu inastack,yaani nikiwasha tu ni matangazo hata kama situmii browser nahisi yanatokea kwenye app ninazotumia,adblock nzuri ni ipi ili nianze kutumia?

Kama unatumia xiaomi,jaribu kwenda kwenye settings ya app husika (uliyofungua at that time),disable "receive recommendations"
 
Kama unatumia xiaomi,jaribu kwenda kwenye settings ya app husika (uliyofungua at that time),disable "receive recommendations"
mkuu nahisi kuna app niliruhusu matangazo ila sikumbuki ni ipi!
 
Mkuu nami niko njiani kuiwania xiaomi asee
 
Naomba kueeweshwa waliotumia hiz simu za Xiaomi.
Nasikia sehemu ya kuweka sd card ndo hiyo ya kuweka laini ya pili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…