majohe kona
JF-Expert Member
- May 23, 2018
- 257
- 263
Kwani jamaa amepotosha nn hasa ??
Namquote amesema yeye kwake xiomi ndo bora hajasrma xiomi ni bora bali kwa mtazamo wake yeye
Achana na huyo mdandia mada za watu ajue tu xiaom sasa ni no 4 duniani
Kusrma kweli mm sikuona tatizo au comment yako ambayo imeleta tension kiasi kile sababu ulisema kabisa kwa maoni yako na kwa simu ulizotumia hyo ji the best basi
Mimi kwa maoni yangu binafsi Naikubali hii brand na sio kama iPhone samsung na Huawei ni Mbaya Hapana ila top 4 xiaom yupo dhidi ya hao wakubwa [emoji120][emoji120][emoji120]
Fb sasa hivi waba sheria za ajabu ajabu, soon hiyo account yako wanaweza wa i delete.Mkuu hivi shida huwa nini hapa kila niki post Tangazo la biashara yangu katika groups za Fb za biashara nakutana na huu mkasa na kwanini au shida nini nafungiwa yaani!!View attachment 932693
Chief-Mkwawa
Unajua tangu Juzi pia si kwamba napost upuuzi ni group za biashara na post items ila nikipost yaan baada ya nusu saa napokea huo ujumbe sasa kuna watu wana report items zangu au inakuaje asee hata sielewi na kwanini iwe hivi niki report kwao hawana solution mpaka time ifike wanakuachia.Fb sasa hivi waba sheria za ajabu ajabu, soon hiyo account yako wanaweza wa i delete.
Kuanzia dola 340 unaweza kupataNgapi mkuu? Hivi rate ya 1$ ni sawa na TZ SH ngapi?
Chief-Mkwawa na Wadau/wazoefu/mafundi wengine naomba mtie neno hapa.Wakuu,nina redmi note 4x(SD) torch yake inawaka mwanga blue, usiku ukipiga picha kwa kutumia flashlight....picha inakuwa too blue.
Nimejaribu most of software troubleshooting trick,but nothing changed.
Naomba msaada wenu Wakuu make simu iko clean/smooth...haina tatizo lolote tofauti na hilo.
1.flashlight picture-night
View attachment 939685
2.non-flashlight picture-night
View attachment 939687
Nimechukua Pocophone F1 hii simu ni balaa View attachment 940460
Hilo ni jiwe mkuuNimechukua Pocophone F1 hii simu ni balaa View attachment 940460
Noma sana mkuuHilo ni jiwe mkuu
Exchange na top up unakubaliNimechukua Pocophone F1 hii simu ni balaa View attachment 940460
Hapana mkuu haipo sokoniExchange na top up unakubali
Nakupa redmi 5 + na hela
Ulianua kwa bei gani?Hapana mkuu haipo sokoni
Jamaa yangu kaniletea kutoka IndiaUlianua kwa bei gani?
Umetisha mkuuExchange na top up unakubali
Nakupa redmi 5 + na hela
Hata china hakuna takataka inayoitwa tecno. Trust meInategemeana na aina ila kariakoo nasikia zipo, mi nilinunua Hong Kong $112.00 na hakuruhusu ununue zaidi ya mbili maana ndo walikuwa wame launch. Nilitaka Tecno lakin hong Kong nzima hakuna tecno ndo wakanishauri Xiaomi. Maana ni copy and paste ya Apple