Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Mkuu A5 2017 ni simu nzuri zaidi kushinda redmi 6, hata hazifananishiki sema A5 nayo ni ghali zaidi pengine mara 2 hadi 3 ya hio redmi 6.La mwisho Chief-Mkwawa naomba unishauri kuhusu Samsung galaxy a5 2017 , je inaipiku redmi 6? Naezaje oata original (ambayo siyo refurbished)
Kama ukaaji chaji ni priority hii haitakufaa kwanza ina 3000mah tu na pia ni mediatek.Mkuu Chief-Mkwawa naomba ushauri wako kuhusu Xiaomi redmi 6 ukaaji wa chaji nk .Pia ni xiaomi gani nzuri naeza ipata kwa range ya 130-149 USD. Je kwa hela hii naeza pata simu gani nzuri zaidi kwenye brand ya Xiaomi au brand nyingine?
Umenunua bei gani mkuu?Njooni huku Oppo hakika huwezi juta ,naona hata samsung wapo nyuma simu ina speed kali sana moto yatunza vzr hadi raha .....Nimemliki J5 prime Siwezi Ifananisha na oppo yangu a3s haswa speed +moto ..View attachment 950382View attachment 950383View attachment 950384
420KUmenunua bei gani mkuu?
AliExpress sijaziona hizo vitu au umechukulia Kenya?420K
Bei imechangamkaaaa! Mno. Wakati hapo ukiongeza 30k, unapata Redmi Note 6 Pro 4GB RAM 64GB ROM SNAPDRAGON 636.420K
yap kenya ila nenda mwanza zinauzwa bt kuna copy uwe makini cana mkuuAliExpress sijaziona hizo vitu au umechukulia Kenya?
Xiaomi Redmi Note 6 ProBei imechangamkaaaa! Mno. Wakati hapo ukiongeza 30k, unapata Redmi Note 6 Pro 4GB RAM 64GB ROM SNAPDRAGON 636. View attachment 952434 Imemuacha oppo kwa kila idara. Hizi simu ni mara kumi uagize direct kwa mchina kuliko kununulia hapa nchini
Unayo hii saizi?Xiaomi Redmi Note 6 Pro
View attachment 953008
NopeUnayo hii saizi?
Hivi boss kuchukua redmi note 6 pro ya 4gb Ram-64gb Rom na ya 3gb Ram-32gb Rom bora ipi yaani zina utofauti kiufanisi?Nope
Habarini wadau, mimi natumia saa/fitness tracker MI FIT BAND 3 lakini lugha yake ni ya kichini. . .na sijafanikiw kubadilisha lugha hadi hivi sasa coz kwenye App yake ya MI FIT hakuna hiyo option. Nitashukuru kwa msaada jamani kwa ambaye anautaalumHello wanajukwaa natumia hili pendwa natumaini mu wazima.
Nachukua fursa hii kuomba wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja, utundu na yale yote yaliyomo ndani ya simu hizi na bidhaa zingine za kampuni ya xiaomi.
BINAFSI natumia xiaomi redmi note 4 simu iko vizuri for affordable price.
KARIBUNI
Hivi boss kuchukua redmi note 6 pro ya 4gb Ram-64gb Rom na ya 3gb Ram-32gb Rom bora ipi yaani zina utofauti kiufanisi?
Chief-Mkwawa
Doh kwa hiyo ya 3gb Ram haipati update? na je kwa 450k napata toka aliexpress hiyo ya gb4 Ram.Ndio mkuu ram kubwa ni nzuri zaidi. Kama unaweza kui afford nunua. Itakusaidia pia mbeleni kwenye future updates
hiyo bei inajumuisha gharama zote mpk mkononi?Bei imechangamkaaaa! Mno. Wakati hapo ukiongeza 30k, unapata Redmi Note 6 Pro 4GB RAM 64GB ROM SNAPDRAGON 636. View attachment 952434 Imemuacha oppo kwa kila idara. Hizi simu ni mara kumi uagize direct kwa mchina kuliko kununulia hapa nchini
Inapata lakini updates zijazo zitakuwa demanding kuliko za leo.Doh kwa hiyo ya 3gb Ram haipati update? na je kwa 450k napata toka aliexpress hiyo ya gb4 Ram.
Chief Kuna hii simu mpya ya Umidigi One Max nimeona kule Nairaland wanaisifia Ni Bei POA,vp ukiilinganisha na Redmi note 6 pro (specifications)?!Inapata lakini updates zijazo zitakuwa demanding kuliko za leo.
Chukulia mfano simu ya ram 1gb na 2gb miaka kadhaa iliopita leo zitaperform sawa? Simu ya 1gb ram itakuwa slow sana. Hivyo miaka ijayo simu ya 3gb itaanza kuwa slow kabla ya 4gb.
Yah naona bei yake ni around 420k
1. Kioo cha 6.3 inches halafu ni Hd ya kawaida sio Full HDChief Kuna hii simu mpya ya Umidigi One Max nimeona kule Nairaland wanaisifia Ni Bei POA,vp ukiilinganisha na Redmi note 6 pro (specifications)?!
Inapata lakini updates zijazo zitakuwa demanding kuliko za leo.
Chukulia mfano simu ya ram 1gb na 2gb miaka kadhaa iliopita leo zitaperform sawa? Simu ya 1gb ram itakuwa slow sana. Hivyo miaka ijayo simu ya 3gb itaanza kuwa slow kabla ya 4gb.
Yah naona bei yake ni around 420k
Naomba nisaidie link ya aliexpress mkuu kwa around bei hiyo itakuwa vizuri na umenisaidia mkuu.Inapata lakini updates zijazo zitakuwa demanding kuliko za leo.
Chukulia mfano simu ya ram 1gb na 2gb miaka kadhaa iliopita leo zitaperform sawa? Simu ya 1gb ram itakuwa slow sana. Hivyo miaka ijayo simu ya 3gb itaanza kuwa slow kabla ya 4gb.
Yah naona bei yake ni around 420k