Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Lakini mkuu mbona bei zako zinakuwa tofauti sana na jamaa zetu wa kariakoo!!!yaani hii umeandika hapa 420 but kkoo utaambiwa 720,wewe huwa unaangalizia wapi??
Hapana huwa hapa targert yetu kununulia china yaani kupitia aliexpress.com ila ikija bongo hugusi boss.
 
Habarini wadau, mimi natumia saa/fitness tracker MI FIT BAND 3 lakini lugha yake ni ya kichini. . .na sijafanikiw kubadilisha lugha hadi hivi sasa coz kwenye App yake ya MI FIT hakuna hiyo option. Nitashukuru kwa msaada jamani kwa ambaye anautaalum
Nafirikiri hiyo uliyonayo ni Chinese Version, inakuwa na characters nyingi za kichina but kwenye vitu vingine inaonyesha kwa phone language (English). Hautoweza kubadili lugha coz ni CN version, mwanzo kabisa walivyoanza kuziuza zilikua ni Chinese version tu, lakini kwa sasa wametoa Global Version yenye English na lugha nyingine nyingi.
 

Attachments

  • CE43E661DD079453.png
    75.5 KB · Views: 42
Hio ni kwamba ukiweka modem yako itakuambia kama inasupoort au no...Ila cha msingi ni kufuata maelekezo maana ni powerful tool
 
Bei imechangamkaaaa! Mno. Wakati hapo ukiongeza 30k, unapata Redmi Note 6 Pro 4GB RAM 64GB ROM SNAPDRAGON 636. View attachment 952434 Imemuacha oppo kwa kila idara. Hizi simu ni mara kumi uagize direct kwa mchina kuliko kununulia hapa nchini
Kuagiza ni bei gani jumla mpaka kuipata mkononi pamoja na wewe ninaekupa kazi ya kuagiza
 
Hio ni kwamba ukiweka modem yako itakuambia kama inasupoort au no...Ila cha msingi ni kufuata maelekezo maana ni powerful tool
kwa hiyo hamna hata mtu aloleta mrejesho sio? tunaogopa kudownload virus mkuu kupoteza data
 
Hio ni kwamba ukiweka modem yako itakuambia kama inasupoort au no...Ila cha msingi ni kufuata maelekezo maana ni powerful tool
mkuu ukiangaliwa kwa jicho la 3 na vitu unavyopost ni.wazi virus hamna cha maana unachopost sijui unataka kuiba info za watu uibe na mengine hakuna cha msingi jiangalie tena na tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…