Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 981
Hapana huwa hapa targert yetu kununulia china yaani kupitia aliexpress.com ila ikija bongo hugusi boss.Lakini mkuu mbona bei zako zinakuwa tofauti sana na jamaa zetu wa kariakoo!!!yaani hii umeandika hapa 420 but kkoo utaambiwa 720,wewe huwa unaangalizia wapi??