Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Naomba kufahamishwa kati ya
xiaomi redmi note 5 pro vs xiaomi redmi note 6 pro.
Ipi ipo vizuri na kwanini naomba maelezo mazuri mwenye kuweza kuzitofautisha hizi simu.
nimejichanga so nataka kuagiza kitu bora ambacho sitojutia.
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa
Msauziy
 

Kimsingi ni model zinazofanana sana kwenye hardware, lakini Redmi Note 6 Pro ni enhanced zaidi kimuonekano, ina flagship camera, notch screen. Pia bei hazitofautiana pakubwa, ni bora ununue Redmi Note 6 Pro, you will never regret.
 
Kamata redmi note 6 pro ndio latest boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…