Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Hizo kuzipata online kwa sasa ni kwa tabu, coz ya muda kidogo. Tafuta Redmi Note 5Redmi note 4 ni bei gani Kwa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo kuzipata online kwa sasa ni kwa tabu, coz ya muda kidogo. Tafuta Redmi Note 5Redmi note 4 ni bei gani Kwa sasa?
Hizo kuzipata online kwa sasa ni kwa tabu, coz ya muda kidogo. Tafuta Redmi Note 5View attachment 970748View attachment 970749View attachment 970750
Inauzwa bei ganiNatumia Xiaomi Mi5s. Ina 3GB Ram na storage 64GB.
Ipo around laki nne hadi laki tano, bei inatofautiana na internal memory na ram.Hii inaendaje?
Naomba kufahamishwa kati ya
xiaomi redmi note 5 pro vs xiaomi redmi note 6 pro.
Ipi ipo vizuri na kwanini naomba maelezo mazuri mwenye kuweza kuzitofautisha hizi simu.
nimejichanga so nataka kuagiza kitu bora ambacho sitojutia.
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa
Msauziy
Shukrani Msauziy kwa ufafanuzi wako.Kimsingi ni model zinazofanana sana kwenye hardware, lakini Redmi Note 6 Pro ni enhanced zaidi kimuonekano, ina flagship camera, notch screen. Pia bei hazitofautiana pakubwa, ni bora ununue Redmi Note 6 Pro, you will never regret.View attachment 971930View attachment 971931View attachment 971933View attachment 971935
Kamata redmi note 6 pro ndio latest bossNaomba kufahamishwa kati ya
xiaomi redmi note 5 pro vs xiaomi redmi note 6 pro.
Ipi ipo vizuri na kwanini naomba maelezo mazuri mwenye kuweza kuzitofautisha hizi simu.
nimejichanga so nataka kuagiza kitu bora ambacho sitojutia.
Natanguliza shukrani
Chief-Mkwawa
Msauziy
Ndio ni kweli. Hata hiyo Redmi Note 5 hadi ufanye update ndio inapata MIUI 10, ukiinunua inakakuja na MIUI 9.Shukrani Msauziy kwa ufafanuzi wako.
Nimeona note 5 pro ina MIUI 10 na note 6 pro ina MIUI 9 Ni sahihi kweli?
Sio zote mbona Redmi 6 ina 5.45"siku hizi naona hata uvivu kununua simu mpya. maana yote makubwa, inchi 6 siwezi bora nibaki na hii hii redmi 4x
Hapa bei kama wanakomoaWazee XIAOMI mi 8 inapatikana hapa bongo!?
Mi max 3 imesimama kiasi gani mpaka mkononi kwa sasa?Sio zote mbona Redmi 6 ina 5.45"
US $250Mi max 3 imesimama kiasi gani mpaka mkononi kwa sasa?
Mpka mkononi bei gani?Kimsingi ni model zinazofanana sana kwenye hardware, lakini Redmi Note 6 Pro ni enhanced zaidi kimuonekano, ina flagship camera, notch screen. Pia bei hazitofautiana pakubwa, ni bora ununue Redmi Note 6 Pro, you will never regret.View attachment 971930View attachment 971931View attachment 971933View attachment 971935
US $170 version ya 3gb ram & 32gb rom.Mpka mkononi bei gani?
Soon nakupa kazi aisee hiyo bei naimudu ngoja new year nianze na hii kituUS $170 version ya 3gb ram & 32gb rom.
Ur always welcome,...Soon nakupa kazi aisee hiyo bei naimudu ngoja new year nianze na hii kitu
Nini tofauti ya vioo vyenye Corning gorila glass na vya kawaida?Ur always welcome,...