Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
Nina uhakika, mizigo mingi inayopotea kwa njia ya posta, haipotelei kwenye mikono yao, bali ni pale airport, mzigo wenye tracking number kupotea si raisi bali utokea.
Mm pia nilkua napokea mizigo salama ila nmeshuhudia watu wakiibiwa kwahyo nakua makini Bro...EMS ndio ipo chini ya posta lakn kule usalama na uhakika wakupata mzigo ni mkubwaMm natumia sn posta, hata kwa items za $200+ but mizigo inafika salama, ni mara chache kupata incident za kupolewa mzigo. Kumbuka EMS kwa Tanzania ipo chini ya shirika la posta Tanzania (TPC).
Sent using Jamii Forums mobile app
mtu yeyote anaweza kuingiwa na tamaa akafungua mzigo wa mtu inaweza ikawa airport au ata posta wote wanaweza kukuibia tu..posta wanadai tunaibiwa airport kwakua wanajua hatuwezi kwenda kuuliza wala kufanya chochote kwahyo wanabaki kutuaminisha hivoNina uhakika, mizigo mingi inayopotea kwa njia ya posta, haipotelei kwenye mikono yao, bali ni pale airport, mzigo wenye tracking number kupotea si raisi bali utokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni sensor mpya ya sony simu kibao zimeshatoka na hiyo camera, kutokana na simu zote kutokuwa highend usiweke mategemeo sana kuwa ni camera nzuri.Xiaomi wametoa Redmi Note 7 ambayo ina 48MP ikiwa na processor ya snapdragon 660,lakini naona watu wengi wanatia Shaka na hiyo camera wanasema kwamba Snapdragon 660 uwezo wake wa camera max ni 25mp.
Hapa inakuaje,au Xiaomi wanatumia hiyo 48mp kama mbinu ya kuwapa edge sokoni dhidi ya wapinzani wao.
Chief-Mkwawa tunaomba maelezo hii ikoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Sd 660.Hio ni sensor mpya ya sony simu kibao zimeshatoka na hiyo camera, kutokana na simu zote kutokuwa highend usiweke mategemeo sana kuwa ni camera nzuri.
Pia kuna tetesi ni sd 675 na sio 660
Ni kama pureview technology ya Nokia, wanai license siku hizi, camera inakuwa na mp48 ila inatoa picha za megapixel 5 ama 8 etc, kinachofanyika zinapigwa picha 6 ama 8 tofauti na kisha zinaunganishwa kuwa picha moja yenye quality zaidi.Ni Sd 660.
Ni kweli maana nimeona hata sample zake za picha hazitofautiani sana na za Redmi note 6 Pro.
Ila Kuna sehemu nimesoma wanasema Xiaomi wametumia 'Pixel Binning' sijui ndo kitu Gani hiko
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Chief. Now nimeelewa.Ni kama pureview technology ya Nokia, wanai license siku hizi, camera inakuwa na mp48 ila inatoa picha za megapixel 5 ama 8 etc, kinachofanyika zinapigwa picha 6 ama 8 tofauti na kisha zinaunganishwa kuwa picha moja yenye quality zaidi.
Mkuu hii imecost bei gani mpaka kukufikia?Kuna hii mpya Mi Box S, ipo enhanced zaidi, never seen before Android Box kama za Xiaomi.
View attachment 985202View attachment 985203
Sent using Jamii Forums mobile app
Hio ni sensor mpya ya sony simu kibao zimeshatoka na hiyo camera, kutokana na simu zote kutokuwa highend usiweke mategemeo sana kuwa ni camera nzuri.
Pia kuna tetesi ni sd 675 na sio 660
Shilingi laki moja na sabini.Mkuu hii imecost bei gani mpaka kukufikia?
Oppo gani unayoisemea wewe? Kuna mnyama Find X sijui kama unamtambuaKuagiza ni bei gani jumla mpaka kuipata mkononi pamoja na wewe ninaekupa kazi ya kuagiza
Duh sio mchezo, ila kako mstari sana.Shilingi laki moja na sabini.
Wapuuzi sana hao jamaa, kuna siku niliwachana kwenye uzi mmoja wakani vice vibaya mno. Ila ukweli nilishawapa. Tv za TCL ni kali kinoma yani ukipata Series 6 bei kitonga sana US ila bongo wanaleta za Go Live tv tu. Mara kumi ingekuwa hata android tv basi ikupe mwanya wa ku install vitu vingi. Bure kabisa.Well said,mm nilitafuta maduka yte tcl tv yenye roku os nikakosa kabisa,nikapiga hesabu ya kuagiza amazon ila shipping cost ikanishinda.
Sjhukrani wakuuKuweka pin code request on/off atadaiwa pin(passcode)
Umesahau na camera nzuri maana hapo ndipo Tecno na ma swahaba wenzake wanapowanyongea wabongo.Hii pia inachangia sana, wafanyabiashara wengi wanaangalia simu au bidhaa zinazo toka sana. Na ukiangalia bongo wengi hatuna uelewa wa simu, mtu anaenda dukani anahitaji simu yenye whasApp au Facebook kazi inabaki kwa muuzaji kumchagulia.
Hizi vipi zinagonga eeh?Tafuta 20k agizia aliexpress, hapa bongo kupata kwa hiyo budget yako labda xiaomi fakeView attachment 924795View attachment 924796View attachment 924797
Mkuu bado unayo?Ninayo hiyo naiuza 580k bdo mpya under warranty
Nina Redmi 5 plus GB 32 ram 3Mkuu bado unayo?