Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Mi capsule nazijua ,,zina sura nzuri..vp zinapiga?

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Aisee kwel alie okota ana bahati,nitakuja kununua mi capsule niwe nazo pia

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
chukua Bro zinavutia sana pia znasound nzr Mi napenda kitu chenye muonekano mzr yan..sema posta wajnga sana sjui kwann earphones wanazweka kwny RDP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hio ya kuchat juani ni clear black display ambayo ni technology ya Nokia haina mahusiano na Gorilla.

Kuhusu kutochubuka utunzaji pia unatofautiana
 
Hizi Rock zircon mbona review yake si nzuri naona wanasema baada ya miezi 2 tu hamna kazi na ukipitia hizi za Xiaomi Piston 3 pia naona wanalalamika hazina base anyway mimi ni mdau wa earphone ambazo zinakuwa hivi je kampuni gani ni recommended?


Hizi naonaga kama zinaniumiza masikio zenye hivi vipira ambavyo vinaingia ndani ya sikio kabisa
 
wewe kama mimi protector, cover sitaki kusikia zina haribu mwonekano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

QCY ni nzuri sana pia kuna hizi Anker SoundBuds Slim nazo ni nzuri mno, zinakuwa na warranty ya 18 months.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rock Zircon hazidumu kabisa, ila inategemea na utunzaji wa mtu. Pia hizo piston colourful edition kwenye upande wa sound sio nzuri kilvile, kwa sasa hizi wired earphone za Xiaomi ndio unaweza fananisha na Zircon, zinaitwa Xiaomi Hybrid DC Earphone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rock zipo poa sana...shida ya rock ni ile connector ndio inayolalamikiwa..sijajua kama wamefix tayar..

Ila yangu ninayo tangu mwaka jana mwez wa pili,haijaleta shida hadi leo

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
Rock zipo poa sana...shida ya rock ni ile connector ndio inayolalamikiwa..sijajua kama wamefix tayar..

Ila yangu ninayo tangu mwaka jana mwez wa pili,haijaleta shida hadi leo

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Aisee mkuu binafsi sipendi earphone zenye vipira huwa nahisi vinaniumiza masikio, so hawa rock hawana version ya earphone za kawaida?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hizohizo Mi Piston ila sio Pro. Ila nimeona reviews nyingi wanasema kwamba zinapiga vizuri zaidi zikiwa kwenye simu ya Xiaomi

Mkuu naomba hiyo link ya hizo earbuds

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rock zipo poa sana...shida ya rock ni ile connector ndio inayolalamikiwa..sijajua kama wamefix tayar..

Ila yangu ninayo tangu mwaka jana mwez wa pili,haijaleta shida hadi leo

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Mkuu nakwambia wewe ulibahatika maana kwenye watu 10 waliowahi tumia Rock 8 wanakwambia hazidumu. Shida ni lile liconnector lao Hizo Hybrid Dc nimezielewa Sana aseee,vipi sound quality yake zinazidi Rock?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…