Mr. Mobile
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,439
- 1,633
US $10.77 23%OFF | 2018 New Xiaomi Earphones Mi Dual Driver MEM Mic Tenacity Wire Control Half-In-Ear L-Shape Plug Earphone Hybrid DC DynamicEbu nisaidie link kama nimezielewa.
Mkuu nakwambia wewe ulibahatika maana kwenye watu 10 waliowahi tumia Rock 8 wanakwambia hazidumu. Shida ni lile liconnector laoHizo Hybrid Dc nimezielewa Sana aseee,vipi sound quality yake zinazidi Rock?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo nilimuagizia bro anasema zinatunza sana chaji pia zinakaa vizuri masikioni. Hizi ni nzuri kwa sisi ambao hatuna uwezo wa earpod.Ndio kaka nzuri sana hz vp ww ushazitumia? anker pia huwa naona product zao n nzur nliona review za Bluetooth spika zao ziko poa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua kava zenye quality mkuu ni full protection. Kwa hizi simu zenye metal body, bila kava unaingusha muda wowote, sababu zinateleza sana.amini kaka simu inatunatuna mpk inapoteza mvuto bhn then covers huwa zinaharbu simu nshasuhudia simu nyng za watu covers znaharbu mno hasa simu za plastic znaharbu sana rangi na michubuko juu sababu ya joto
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawah zione..ebu pita pita ali express mkuu unaeza pataAisee mkuu binafsi sipendi earphone zenye vipira huwa nahisi vinaniumiza masikio, so hawa rock hawana version ya earphone za kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
QCY qs1 TWS 5.0 Bluetooth headphone 3D stereo wireless earphone with dual microphoneNi hizohizo Mi Piston ila sio Pro. Ila nimeona reviews nyingi wanasema kwamba zinapiga vizuri zaidi zikiwa kwenye simu ya Xiaomi
Mkuu naomba hiyo link ya hizo earbuds
Sent using Jamii Forums mobile app
nlitaka nzchukue sema ntazchukua next timeHybrid Pro sijawai kuzitumia. Ila kwenye review naona wanazisifia sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
kweli kabsaHizo nilimuagizia bro anasema zinatunza sana chaji pia zinakaa vizuri masikioni. Hizi ni nzuri kwa sisi ambao hatuna uwezo wa earpod.
Sent using Jamii Forums mobile app
naelewa Bro sema m spog interest na makava tu yan sewez tumia kbsaChukua kava zenye quality mkuu ni full protection. Kwa hizi simu zenye metal body, bila kava unaingusha muda wowote, sababu zinateleza sana.
View attachment 995335View attachment 995336
Sent using Jamii Forums mobile app
rock za bila vipira hzo hapo...inaonekana hupend bass kbsa mkuu?Aisee mkuu binafsi sipendi earphone zenye vipira huwa nahisi vinaniumiza masikio, so hawa rock hawana version ya earphone za kawaida?
Sent using Jamii Forums mobile app
zitakua na shida ya connector tu lakn nmefatilia sound yake sio yaktoto Bro uklngansha na price according to reviewsMkuu nakwambia wewe ulibahatika maana kwenye watu 10 waliowahi tumia Rock 8 wanakwambia hazidumu. Shida ni lile liconnector laoHizo Hybrid Dc nimezielewa Sana aseee,vipi sound quality yake zinazidi Rock?!
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi nizazo zote mbili, za xiaomi bluetoth na rock zircon. hizo rock zircon kwenye kichwa nilifunga waya. hazijawahi nisumbuaView attachment 995490View attachment 995493
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida ni ile connector tu,nahisi ule muundo wake utakua umechangia kuifanya iharibike haraka.zitakua na shida ya connector tu lakn nmefatilia sound yake sio yaktoto Bro uklngansha na price according to reviews
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tunaomba utuelekeze huu utaalam aseemimi nizazo zote mbili, za xiaomi bluetoth na rock zircon. hizo rock zircon kwenye kichwa nilifunga waya. hazijawahi nisumbuaView attachment 995490View attachment 995493
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio cha msingi ni utunzaji tu Bro alf kuweka simu kwenye Jeans ukiwa unatembea huwa inaharbu sana connectorsShida ni ile connector tu,nahisi ule muundo wake utakua umechangia kuifanya iharibike haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha daa jamaa hapo kweny rock ulivyo twist hyo connector[emoji119][emoji119]mimi nizazo zote mbili, za xiaomi bluetoth na rock zircon. hizo rock zircon kwenye kichwa nilifunga waya. hazijawahi nisumbuaView attachment 995490View attachment 995493
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii haijaanza kuuzwa rasmi kwa global version, iliyopo ni Chinese version. Global version itaanza kuuzwa baada ya Chinise New Year.Wadau,nikitaka huu mzigo kwnye hizo flash sale kibongobongo wanatuma?.
.
First Redmi Note 7 flash sale ends in minutes - GSMArena.com news
Sent using Jamii Forums mobile app