Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwani uki cheki online update hakuna mkuu ili upate stable version? Mbona review nyingi zinaonesha inapata automatic update. ( OTA )
 
Kwani uki cheki online update hakuna mkuu ili upate stable version? Mbona review nyingi zinaonesha inapata automatic update. ( OTA )
Online nimekosa hiyo soln nyingi naona wath wanalalamika ndo maana nikaleta humu boss itakuwa vizur kama nawewe ukanisaidia.
 
Vp ukijaribu kubadili nchi mfano ukaweka India au huko china badala ya Tanzania...
 
Imechukua muda gan kufika?
Ulitumia njia gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliagiza Tar 24 Dec 2018 nimeipata Tar 16 Jan 2019 na hii sababu niliagiza msimu wa sikukuu ila Seller yuko fasta sana ndani ya siku 8 tu mzigo ushaingia Tz/Dar.

Njia ni ya POSTA Standard Shipping haizidi hata 10k-by Singapore Airliner hawa ndo career walotumika kuleta mzigo Tz toka HK.

Mengine ni ya kawaida tu katika process za kuagiza mzigo online nadhani humu kuna manguli watakupa msaada zaidi.
 
24 Dec Hadi 16 Jan ni siku 8?
Nijuavyo standard shipping AliExpress ikiwahi Sana Ni siku 12!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…