Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wakuu Mpombote
ze kokuyo alixpress kulikuwa na sellers wazuri tu wa kuuza simu za Xiaomi baadhi ni:-
1.Xshow store
2.Hong Kong Goldway
3.Xiaomi Retail Store
4.Fantancy Technology
Yaani ulikuwa na uhuru wa kuchagua seller yupi yupo cheap na fast zaidi Kati ya hao ila sasa hao watatu wa mwanzo hawaship kabisa Tz au wanaship wanapojisikia.
Xshow wameachana na Xiaomi wanauza brand ya Leeco na nyingine so fantacy ndio kabaki tegemeo
 
Simu ya Kwanza Xiaomi redmi 4A nilichukua Xshow zinazofuata ni Xiaomi Retail Store hao Jamaa walikuwa fast sana yaani siku 12-15 tayari unakitu mkononi.
Hong Kong Goldways sijapata kuwatumia kabisa na hao Fantacy Technology uhakika kupata parcel ni siku 18-23 tokea ufanye malipo
 
Kwann wamesitisha tz? Au kuna úpotevu sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…