Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,495
- 5,025
- Thread starter
- #281
stable woman mtajie to wewe unamiliki nn agugo aone spec hizoManeno ya mkosaji[emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
stable woman mtajie to wewe unamiliki nn agugo aone spec hizoManeno ya mkosaji[emoji3]
stable woman mtajie to wewe unamiliki nn agugo aone spec hizoManeno ya mkosaji[emoji3]
waache walale usiwaamshe mi imefika kipindi Kwanza sim hua siizimi usiku inajizima yenyews tu nne na nusu asubuhi kumi na mbili inawaka inaniamsha inaniambia ngosha kumekucha twende shamba anayebisha nimwekee screen short. hapaxiaomi redmi note 3.hizi simu ni noma aisee
Usihuzunike wala kufadhaika mkuu jibu hoja kwa welediManeno ya mkosaji[emoji3]
Mkuu hiyo power start si unaweka hata kwa itel ya batani?waache walale usiwaamshe mi imefika kipindi Kwanza sim hua siizimi usiku inajizima yenyews tu nne na nusu asubuhi kumi na mbili inawaka inaniamsha inaniambia ngosha kumekucha twende shamba anayebisha nimwekee screen short. hapa
Hio ya itel ikoje Mimi siijui sijawahi itumiaMkuu hiyo power start si unaweka hata kwa itel ya batani?
Au hiyo ipoje
Unaset muda wa kujizima na kujiwasha yenyeweHio ya itel ikoje Mimi siijui sijawahi itumia
Vp note 5A yenye fingerprint?4a ndio ndogo kushinda zote na kwa 300,000 haimake sense, hio 4x ni nzuri zaidi.
Nimenogewawe mtoto was Arusha nikuvue kwa ngapi hio kitu
redmi note 4 ni nzuri kushinda 5A sababu note 4 ina snapdragon 625 ambayo ni nzuri kuliko snapdragon 435.Vp note 5A yenye fingerprint?
Huyo mivivu wa kufikiri na yeye anaruhusiwa kusifia tecno yake na matatizo yasiyo ishaManeno ya mkosaji[emoji3]
Hii nyumba ya xiaom haina usumbufu hatuwezi tokaNawakaribisha kwenye familia ya oneplus,, hamtajuta,,,
Ongeza 30000 uchukue Xiaomi redmi 4x,Laki 250000 simu gani hadi kunifikia?
Yap zinapatikana. Ila nyingi ni kwakuagiza online. Sababu ya unafuu wa bei.Swali langu moja kwa mfano umepasua kioo au tatzo lolote lile vip spear zake znapatkana kwa urahic
Owkeeyy nmekuelewa hapoYap zinapatikana. Ila nyingi ni kwakuagiza online.