Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

waache walale usiwaamshe mi imefika kipindi Kwanza sim hua siizimi usiku inajizima yenyews tu nne na nusu asubuhi kumi na mbili inawaka inaniamsha inaniambia ngosha kumekucha twende shamba anayebisha nimwekee screen short. hapa
Mkuu hiyo power start si unaweka hata kwa itel ya batani?
Au hiyo ipoje
 
Vp note 5A yenye fingerprint?
redmi note 4 ni nzuri kushinda 5A sababu note 4 ina snapdragon 625 ambayo ni nzuri kuliko snapdragon 435.

kifupi mwaka 2017 hakikisha simu yako soc yake (processor) imetengenezwa kwa technology ya 14nm au 10nm kwani simu hizi zinakaa na chaji sana na zina nguvu zaidi.

kama budget ndogo cheki hii simu mpya ya redmi 5
1. utapata muonekano wa kisasa zaidi ambao hauna bezell, simu ndogo kioo kikubwa,
xiaomi-redmi-5-1.jpg

2. bei ndogo kuanzia dola 120
3.soc ya kisasa ya Snapdragon 450
4. specs nyengine nzuri kama battery kuanzia 3300mah mpaka 4000mah, ram 2gb kupanda, storage 16gb kupanda etc.

sema itabidi usubirie
 
Swali langu moja kwa mfano umepasua kioo au tatzo lolote lile vip spear zake znapatkana kwa urahic
 
Back
Top Bottom