Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

samahani mkurugenzi...
ni kwamba kila mwezi wabadilisha simu ama zingine hizi unaagizwa na wadau?
IMG-20181213-WA0000.jpeg
 
Kati ya infinix hot 6pro yenye 4000mAh na xiaomi redmi 5 yenye 3000mAh ipi iko vizuri kwa kutunza charge? Ipi ni bei rahisi.Ipi mnanishauri ninunue
 
Kati ya infinix hot 6pro yenye 4000mAh na xiaomi redmi 5 yenye 3000mAh ipi iko vizuri kwa kutunza charge? Ipi ni bei rahisi.Ipi mnanishauri ninunue

Hapo chukua Redmi 5. Kwanza chipsets imetengenezwa kwa manufucturing process ya kisasa Qualcomm Snapdragon 450 (14nm) wakati hot 6 pro ina chipset ya kizamani Qualcomm Snapdragon 425 (28 nm). Redmi 5 japo ina battery yenye 3300mAh inakuwa more power efficient than hot 6pro, pia redmi 5 ina screen protector ya Corning Gorilla Glass wakati hot 6pro haijulikani ina protector gani, Camera nzuri kuliko hot 6pro
IMG-20181216-WA0000.jpeg
 
Samahani wakubwa,hamjaniambia tofauti ya bei kati ya simu hizi mbili
Hizi xiaom ni ngumu kupatikana hapa bongo japo kuna mdau hapo juu kasema alizikuta kariakoo pia bei tunayoiongelea humu ni ya huko ughaibuni watu wanaagizia, lakini bei utakayo agiza inaweza kuwa sawa au kidogo na hizo infinix japo ubora xiaom ni bora hata sio kama infinix
 
Back
Top Bottom