Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Cc Chief-Mkwawa
Kuna ubaya wowote nikinunua xiaomi au pocco inayotumia mtk?
Mtk ipi? Matumizi yako ni yapi?

Zipo Mtk nzuri mfano redmi 9 ama note 8 pro zina Mtk zenye nguvu kwa price point yake.

Ila tatizo la Mtk lipo pale pale hawatoi source code zao kwa developer, kama wewe ni mtu wa kuweka gcam na mods mbali mbali Mtk itakuangusha.

Pia Mtk Hawana driver nzuri za open Gl, kama ni mpenzi wa emulators pia haitacheza vizuri.

Kwa matumizi ya kawaida kama simple games, kuchat, video za hapa na pale ni soc nzuri.
 
Asante Sana mkuu
Matumizi yangu ni ya kawaida tu
Basi hizo redmi zitanifaa
 
Mtk ipi? Matumizi yako ni yapi?

Zipo Mtk nzuri mfano redmi 9 ama note 8 pro zina Mtk zenye nguvu kwa price point yake.

Ila tatizo la Mtk lipo pale pale hawatoi source code zao kwa developer, kama wewe ni mtu wa kuweka gcam na mods mbali mbali Mtk itakuangusha.

Pia Mtk Hawana driver nzuri za open Gl, kama ni mpenzi wa emulators pia haitacheza vizuri.

Kwa matumizi ya kawaida kama simple games, kuchat, video za hapa na pale ni soc nzuri.
Hivi mkuu simu inapoandikwa kuwa ina processor ambayo clock speed yake ni octa-core 4x1.8Ghz na 4x1.6Ghz maana yake ni kwamba hii simu ina clock speed ya 13.6Ghz?(4x1.8+4x1.6=13.6Ghz)
 
Hapana kwenye processor kuna Performance za aina mbili
1. Single core perfomance
2. Multicore perfomance

Single core perfomance ina angalia nguvu ya core moja, ambayo ghz huhusika sana na mambo mengine, kuna programs zenyewe huangalia nguvu ya core moja, hata ukiwa na core 8 zenyewe zinatumika tu hii core moja. Mfano Auto Cad, games, Javascript kwenye browser etc.

2. Multicore perfomance yenyewe ina angalia perfomance ya core zote, haitakuwa 13ghz kama ulivyosema ila ghz zote zinatumika kuanzia core ya kwanza mpaka ya 8, kuna programs nazo ambazo hutumia core zote kama video editors mbalimbali, programs za servers etc.
 
Sasa mkuu simu yenye clock speed ya 4x1.8ghz & 4x1.6ghz nitasema ina speed ya clock ngapi?
 
Unatumia hio kubwa, maana ndio unayotumika most of time kukiwa na kazi kubwa. Hio ndogo hutumika kutunza chaji kwenye kazi ndogo.

Simu kubwa zenyewe zinakuwa na ghz tatu tofauti, kubwa Ya kati na ndogo.
 
Issue mkuu themes zao kama zinabadili hadi boot animation ina maana wamezipa ruhusa kubwa sana.

Si kila developer ana ujuzi wa kucheza na system files na ku deal na version tofauti tofauti za android bila kuharibu jambo fulani.

Boot animation inasomwa kabla Ya simu kuwaka, kukiwa na tatizo ama file lime corrupt inaweza sababisha bootloop.
Nlikua nafanya test ya kusoma encryption keys wanazotumia whatsapp kwa kutumia third party app ila nikashindwa coz kwenye android za kawaida folder la /system/data/your_app_name haliwezi kusomwa na third party yyt ile sembuse hio app husika. Sasa kama hao redmi wanaruhusu themes zibadili hadi boot animation nadhan hata kuaccess app specific data folder ni rahisi.

Nikipata redmi nitajaribu kupika hilo bomu.
 
hata ukiwa na root inakataa?

na files za app mara nyingi ni data/data/appname
 
Ukiwa na root inakubali kirahisi mno ndo maana wanaojidai kuroot simu zao huwa ni kama wanakaribisha hackers kuwadukua.

Point yangu ilikua ni kuandaa research khs udhaifu wa whatsapp kwenye simu za watu wanao-sideload apk so nikatengeneza apk inayofanya:-

1)Kuupload whatsapp msgstore database kwenye remote server then server ifanye decryption, lakn decryption ikawa ngumu kisa kukosa key so no#2

2)Kupata keys za whatsapp kutoka kwenye simu ya users. Hizi keys niligundua zinatunzwa kwenye location ambapo hata sharedpreferences za app husika hutunzwa. Hio location huwa ni /system/data/app_package_name achana na ile inayoonekana kwenye file manager, hii kama hauna root hauwezi kuiona

So baada ya kucheki hii issue ya redmi naona kama vile kuna uwezekano wa kupata mwanya kuaccess hizo keys coz system folder lao linaingilika.

LABDA IWE HAO REDMI WANATOA "ROM SIGNATURE" ZAO KWA DEVELOPERS WA HIZO THEMES COZ UKIWA NA DEV ROM SIGNATURE UNAWEZA ACCESS ALMOST KILA KITU.
 
Ila hata kama wanatoa ROM signatures kwa developers wa themes bado kuna uwezekano wa kureverse engineer hizo themes coz hio signature huwa ipo kwenye manifest.xml file ambayo haibadilishwi wakati wa compilation kama zilivyo java classes nyingine.

Kiufupi naona tatizo kubwa hapa kwenye hizi simu unless hizo themes wawe wanadevelop haohao redmi na sio devs wengine
 
Ukiwa na root inakubali kirahisi mno ndo maana wanaojidai kuroot simu zao huwa ni kama wanakaribisha hackers kuwadukua.

Point yangu ilikua ni kuandaa research khs udhaifu wa whatsapp kwenye simu za watu wanao-sideload apk so nikatengeneza apk inayofanya:-

1)Kuupload whatsapp msgstore database kwenye remote server then server ifanye decryption, lakn decryption ikawa ngumu kisa kukosa key so no#2

2)Kupata keys za whatsapp kutoka kwenye simu ya users. Hizi keys niligundua zinatunzwa kwenye location ambapo hata sharedpreferences za app husika hutunzwa. Hio location huwa ni /system/data/app_package_name achana na ile inayoonekana kwenye file manager, hii kama hauna root hauwezi kuiona

So baada ya kucheki hii issue ya redmi naona kama vile kuna uwezekano wa kupata mwanya kuaccess hizo keys coz system folder lao linaingilika.

LABDA IWE HAO REDMI WANATOA "ROM SIGNATURE" ZAO KWA DEVELOPERS WA HIZO THEMES COZ UKIWA NA DEV ROM SIGNATURE UNAWEZA ACCESS ALMOST KILA KITU.
nimekupata mkuu, nasubiria utakachopata zaidi.
 
Back
Top Bottom